TANZANIA’s President John Magufuli, once hailed by western media as a “bulldozer of graft” has officially lost the battle against corruption!

Unanipa wasi wasi kama kweli umesoma na kuelewa kilichoandikwa...je unataka ataje majina yapi mengine wakati kila kitu kimehatamiwa na ofisi moja (mtu mmoja) kiasi hata wawakilishi wetu wako gizani. Taratibu zote za matumizi zilizo rasmi zimewekwa kando na zinazotumika ni zile zimehatamiwa na mtu moja.

I doubt...I really doubt if you do really understand what is at stake here. Kumbuka si pesa za serikali au za Magufuli, hapana, ni kodi zetu zinatumika bila kufuata taratibu na kama hujui ufisadi ni nini, huu ndio baba lao ufisadi; state sponsored ufisadi. Je bado unakumbuka kile kivuko cha mabilioni? Well, mhusika mkuu ndio leo ni mlinzi wa hazina yetu.
 

Inaonyesha kwako ufisadi ni pale mtu mmoja anapotajwa. Kwa sasa kuna ufichwaji mkubwa wa taarifa, unategemea ifahamike kwa urahisi? Ni vyema ikawekwa wazi kwamba pesa zenye utata ni kiasi fulani na zilitumika kufanya vitu kadha wa kadhaa. Kama Tanzania ndio mnunuzi wa ndege lakini waliingia makubaliano na kampuni ya Boeing ya kutokutoa bei waliyonunua hiyo ndege, hapo huoni kuna shida? Uwanja wa ndege wa Chato unaona popote ukitajwa kwenye matumizi ya serikali?

Hata wakati wa JK miaka mitatu ya mwanzo alianza vizuri kisha Madudu yakaanza kuonekana. Kama rais wetu anaamini yeye ni mtu msafi kwanini hafuati taratibu za manunuzi tuliyojiwekea? Hizo taratibu anataka nani azifuate? Kwanini anakuwa mkali linapokuja suala la yeye kuhojiwa matumizi tena yeye utata? Kwa sasa ukweli utafahamika tu. Yale aliyotaka aaminiwe nayo tena kwa kufanya ukatili yatakaa wazi hayana muda.
 
Anaowaamini ndio wanamdanganya kuwa hali ni shwari
Nasubiri siku tuanze kushikana mashati
Naona tumainj la nchi yangu kujivunia amani barani Africa linatoweka kama upepo wa vuli
 
There was nothing like fighting corruption , the guy is a seriuos film actor, and he did manage to win some international plaudits when he become president by some carefully orchestrated actions managed by his cronies, in tanzania he is and was known as one of the most corrupt leaders , when he was the minister he presided on selling 1000's of government houses and him and his relatjves benefited openly, he bought a ferry, wh8ch remains unused and was moved to the army (make it national secret), impounded an international fish8ng trawler, causing the country to incur huge lossez, and he is now openly putting any rich person or business leaders i jail on trumped charges unless you pay ransom money, you will rot in jail. , he is building an international airport at his small home village in chato, bigger than the one build by mobutu in gbadolite, in short he has never been fighting corruption, he is extremely corrupt and he used his means to become the president
 
Its NOT speculation sir.
Who audits the illegally spent monies?
If one says, for example, he has bought a Bombadier for $100million against parliamentary approval, what if the REAL price is $85million?
To authenticate this expenditure, it must be audited.

One can see the source of the sudden and vitriolic anger angaist the CAG.

Kuna uwezekano wazee wamepiga?
 

Muulize mtoto wa Dada baada ya kutoa pesa Hazina zilikunja kona wapi.
 

Mama wa Bukoba alitumbuliwa live tu kwa kutojua roadfund ni kiasi gani sembuse ripoti inayoonyesha wizi wa fedha za umma twaenda mwezi sasa tuliempa kura akalinde pesa zetu kimya hadi sasa,Takukuru kimya,Bunge kimya,vyombo vyote kimya,CAG aliyeibua wizi wamepewa misukosuko.Je unahitaji PhD kuelewa.Angekuwa na dhamira ya dhati acha ya majukwani kupambana na ufisadi tulitegemea hadi sasa moto unawaka wezi wako mahabusu.Wengine wako ndani mwaka wa Tatu sasa kwa tuhuma tu familia zao zikiteseka Lkn wezi wa mabilioni wako huru.Utasema kuna dhamira ya kupambana na ufisadi? Ufisadi na uhujumu uchumi ni fimbo ya kuwachapia wasio upande wao.
 
Yeeeeesss!!! It sound's.
 
How about squandering trillions of shillings through dubious deals and transactions, including illegal procurements and misappropriation through the country’s treasury.
Can you list those of you calling dubios deals?
And tell the public about the mega projects such as .

SGR[emoji818][emoji1241]
ATC[emoji818][emoji1241]
STIEGLES GORGE [emoji818][emoji1241]
INFRASTRUCTURE CONNECTIONS, ROUND THE WHOLE COUNTRY[emoji818][emoji1241]
FREE SCHOOLING [emoji818][emoji1241]
SALENDER BRIDGE, THROUGH INDIAN OCEAN PENISULA[emoji818][emoji1241]
4LANE MOROGORO ROAD-KIBAHA[emoji818][emoji1241]
FLYOVERS Ubungo & KIMARA[emoji818][emoji1241]

IT may take the whole day listing the buldozers 4 years successful,
People like this thug grom muleba who forced himself to exile,just complishing the team of anti- JPM.

We all knows who is behind them.but all in all

#we stand for JPM 2020-2025.[emoji1241][emoji818][emoji943]
 
CAG nae kaishia kuwa ansbet ngurumo.
Kachukua taarifa zingine toka taarifa za utouh na ku zi update halafu analeta mikanganganyiko tu,huyu mzee alistahili kwenda kuwa sheikh huko bakwata tu.
 
I brand this as Fair Criticism against this regime.
 
CAG nae kaishia kuwa ansbet ngurumo.
Kachukua taarifa zingine toka taarifa za utouh na ku zi update halafu analeta mikanganganyiko tu,huyu mzee alistahili kwenda kuwa sheikh huko bakwata tu.
Have you read the full report? I bet you haven't and that should come as no surprise. You have no idea what this thread is about and as such you have no business commenting on its contents. Do you even understand what embezzlement and misappropriation of funds mean? Poor you, does your guardian know you are here?
 
Using funds without parliament approval is different from stealing as it happened with Escrow or other scandals. We need more information before taking such a position.
mkuu pesa ya umma inatolewa na bunge ( wananchi) kwa serikali ili itumie,Sasa hivi ukichukua Pesa yangu na kuitumia bila idhini yangu hiyo ni nini?
 
and that’s the problem. Wapinzani wa serikali wanataka kuona serikali imepinduliwa kwa ripoti isiyokuwa na ushahidi. Prof Assad anajua anachokifanya ila wapinzani wanaona ni mtu wao, hahaha
Kibaya zaidi orofessor amegeuka kuwa tawi la upinzani.
Wa kina zitto wanadhani watanzania wote tumelaza ubongo bila kuanfalia ukweli wa mambo mkuu!
 
mkuu pesa ya umma inatolewa na bunge ( wananchi) kwa serikali ili itumie,Sasa hivi ukichukua Pesa yangu na kuitumia bila idhini yangu hiyo ni nini?
Huko bungeni ni sawa kama unavyosema.
Lakini upigaji woootee uliokuwa ukiichafua nchi bunge lilikuwa likipitishiwa hiyo miradi halafu unakutana na wabunge maslahi kama kina zitto.
Wakishaona mega projects hizo,wao ndio ilikuwa chanzo cha ulaji.
Sasa buldozer kawapiga chenga na miradi sio tu tunaiona bali inakamilika.

#we stand for JPM 2020-2025[emoji1241][emoji818][emoji943]
 
Jamani acheni uzushi, Magufuli ni mtukufu,mtu pekee Kama akishindwa kitu basi hakuna mwingine ndani ya Tanzania anayeweza,ni kiongozi wa malaika mtarajiwa.pesa anagawa yeye barabarani- rais pekee anatembea na maburungutu ya Pesa huku wengine wakitakiwa kutumia mifumo ya malipo ya serikali,yaani siku hizi hata trafic hagusi elfu 30,000 za faini.yeye tu ndo mwenye mamlaka ya kushika Pesa na kuwagawia awatakao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…