Tanzania's Tundu Lissu recovering well at Aga Khan Nairobi

Sasa kama kila mtu ataamua kwenda nje kadri apendavyo nchi hii itakuwaje?, Magufuli alomwagiza waziri wa afya, infact miongoni mwa ufanisi wa utendaji wa kazi atakazopimwa waziri wa afya Ummy mwalimu ni kupunguza wagonjwa kwenda kutibiwa nje, ndiyo maana unaona uwekezaji mkubwa sana katika sector ya tiba hapa nchini, nenda Ocean road cancer institute ujionee, the biggest and of its kind, nenda Muhimbilii ujionee ilivyobadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeomba evidence na pia kama unafahamu hati ya dharura?

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Evidence kama kitu gani katika hili, huwezi kuvipata kwenye website zaidi ya kwenda Muhimbili kuonyeshwa faili lake, ninadhani wewe ambaye unadhani kuna sheria na taratibu zimekiukwa ndiye unapaswa kulithibitisha hilo, kwa sababu wewe ndiye unayetoa tuhuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeomba evidence na pia kama unafahamu hati ya dharura?

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Labda nikupe ushahidi wa kimazingira tu, baada ya speaker wa bunge kueleza kwanini bunge na serikali haitogharimia matibabu ya Lisu huko Nairobi, wabunge wa upinzani walikuwepo akiwemo Zitto Kabwe, ingekuwa alichosema speaker ni uongo au kuna alternative, pale mjengoni pangechimbika, ninadhani unamjua vizuri Zitto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo evidence hiyo inazuia hati ya dharura? Ni mara ngapi Wabunge wamesafirishwa kwa hati ya dharula?

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Ulaaniwe kabisa unataka afanye nini amekuwa mkusanyaji wa kodi zako
Na nini ccm imefanya miaka yote mbn hujisomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo evidence hiyo inazuia hati ya dharura? Ni mara ngapi Wabunge wamesafirishwa kwa hati ya dharula?

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Wewe ndiyo unieleze hiyo hati ya dharura kwenye tiba ni kitu gani, mimi nimefanya kazi katika sector ya afya, sijawahi kusikia wala kuiona, ndiyo kwanza ninaisikia kwako, hebu elezea umma tuweze kujifunza kitu kipya hiki kinachuitwa hati ya dharura katika uwanja wa afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mioyo ya namna hii wanayo watu wachache, na kazi za namna hii pia hufanywa na watu wachache wenye hiyo mioyo!

Mungu azidi kumsaidia kwa kazi yake anayolifanyia taifa hili.
 
Hujawah kuona uko kwenu kenya mnapewa misaada hata ya kompyuta?inamaana nyie hamuwezi kuzinunua?rais na wabunge wenu hawana fungu la matibabu?kwnn liwepo wakati wanaweza kujitibu kwa gharama zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliofuta Nyayo wala hawakupata shida sasa wewe ulikuwa hutaki kufuata tu Nyayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umepapitia lakini? 2017 World Press Freedom Index | Reporters Without Borders


Hiyo ranking imetolewa baada ya hiyo makala yako kuandikwa! Ni bora ukatuliza akili yako vizuri, maana hili tukio sio la kukurupukia kam unavyotaka kulifananisha na la huyo jamaa anayemtuhumu ruto
 
Reactions: Oii
nchi yetu bhana yaani mtu kupigania haki za wanyonge ndio kuropoka!!! hivi lisu nani asiejua mchango wake mkubwa bungeni mpaka ssa hata makinda alikiri kipindi anaondoka kwamba lisu alisaidia sana kwenye kuchambua miswada bungeni je kuchambua miswada haileti maendeleo kwa taifa zima

mfano lisu alionyesha udhaifu wa muswada wa gesi hadi akatimuliwa leo hii magu naye kasema kweli kuwa muswada wa gesi na mafuta una madhaifu hivyo urudiwe kufayiwa marekebisho!!! je huoni kusaidia kuzuia miswada ya kifisadi kma huo hastahili kuitwa shujaa

2. lisu amepambaa dhidi ya mikataba mibovu be it ya gesi almasi au dhahabu na ameshalala sana jela hta kufikia kukimbia nchi mwaka 2001 kisa kutishiwa kuuawa kwa kupambana na mafisadi alafu miaka 16 imepita ndio maccm yanashtuka kuwa tuliibiwa kwenye dhahabu je lisu sio shujaa bado

Kutetea katiba mpya na kumwaga nondo kuliko wabunge wote mule hadi leo hii katiba ya ccm imeshindwa kupitishwa maana ikipigiwa kura hawawezi jibu hoja zile alizoibua lisu bungeni je bado hawi shujaa kutetea katiba ya wananchi

hivi katika awamu hii nani ambaye anaweza kukosoa wazi utawala wa magu?? kuwa muwazi nani ana huo ubavu zaidi ya lisu??? ntajie hata mmoja tu
 

Tundu huyu huyu aliyemtukana Edward Ngoyai halafu leo anamuita kamanda? Ni mropokaji ambaye hajaifanyia nchi lolote la kukumbuka. Huwezi kuwa shujaa kwa kuropoka bali kwa kufanya vitu vya kusaidia wananchi.

Taja hata mradi mmoja wa maana alioufanya Singida Mashariki. Hizo blah blah za katiba na upuuzi mwingine hazifanyi mtu awe shujaa, kila mtu asiye na akili timamu anaweza kuropoka kama Tundu.
 
Hahahahaha this is funny indeed so u mean by lisu agitating for better ammendments it has no impact on the common mwananchi???

lets be serious mkuu.... lisu criticized the gas and crude oil act citing various loopholes but due to ccm being majority thy passed it 2 years later its brought back for ammendment due to the same loopholes that lisu cited back then..... now doesnt that have an impact on common mwananchi???? wont they benefit from gas ???

thats just an example and remember whatever passed in the parliament always affects the entire country so if lisu is a "fighter"in the parliament why should u rank him as an underdog???

2. ur claimin no devt in his constituency now how is it possible that he won back to back including 43 villages out of possible 45??? those citizens are votin him out of what??? why vote for someone who does nothin for u????
 
ndio maana nmesema hyo miswada anayoichambuaga kwa uwezo mkubwa bungeni ikipita haina faida kwa mwananchi wa kawaida???

Alipozuia mpango mbovu wa miaka 5 hadi Waziri mpango akaufanyia marekebisho haikuwa na impact kwa mwananchi wa kawaida??

alipozuia muswada mbovu wa gesi asilia mkaipitisha afu leo mmekubali kuwa ulikuwa na makosa mmerudi kuurudia je haina tija kwa wananchi mkipitisha mswada mzuri wa gesi asilia ambao utakuwa na manufaa kwa taifa.??

mifano ni mingi kma unasema hajafanya la maana huko ikungi basi naomba unsaidie kujibu aliwezaje kushinda mbili mfululizo ikiwemo vijiji 43 kati ya 45??? aliwezaje kuchaguliwa na wanasheria wenzake kwa kishindo kma lisu ni kilaza ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…