kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Hahahaha kumchukia kwako Lissu unaona bora hata akifa tu ndio furaha yako itakuwepo?
Kinachotakiwa ni aache kukera watu kwa maneno yake ya dhihaka, risasi huenda zikamuweka kwenye mstari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kumchukia kwako Lissu unaona bora hata akifa tu ndio furaha yako itakuwepo?
Lissu hata mkimuua hamtabaki salama damu yake itaenda nanyi hadi makaburini kwenu, kumwaga damu ya mtu asiye na hatia sababu ya roho mbaya zenu zilizojaa ufuasi wa shetani itawalilia milele. Kifo cha Lissu hadi sasa mmeshindwa kutimiza azma yenu ovu maana Mungu wa Mbinguni aliyeumba viumbe vyote vionekanavyo na visivyoonekana amesimama juu yake na ataendelea kumlinda dhidi ya watesi wake mnaoamini kifo ndio ndio suluhisho la furaha zenu.Kinachotakiwa ni aache kukera watu kwa maneno yake ya dhihaka, risasi huenda zikamuweka kwenye mstari.
Alishasema atanyamaza akifa. Sidhani kama risasi zitamweka kwenye mstari, mdomo wake bado uko salama.Kinachotakiwa ni aache kukera watu kwa maneno yake ya dhihaka, risasi huenda zikamuweka kwenye mstari.
Lissu hata mkimuua hamtabaki salama damu yake itaenda nanyi hadi makaburini kwenu, kumwaga damu ya mtu asiye na hatia sababu ya roho mbaya zenu zilizojaa ufuasi wa shetani itawalilia milele. Kifo cha Lissu hadi sasa mmeshindwa kutimiza azma yenu ovu maana Mungu wa Mbinguni aliyeumba viumbe vyote vionekanavyo na visivyoonekana amesimama juu yake na ataendelea kumlinda dhidi ya watesi wake mnaoamini kifo ndio ndio suluhisho la furaha zenu.
Wako wapi Bokassa, Mabutu Seseko, Saddam Hussein, Idd Amin, na madikteta wengine wengi tu jamii yako walioua malaki ya watu! Kutofautiana namna ya kuwaza na kufikiri suluhisho lake siyo kutoa roho ya mtu bali ni kujibu hoja zake. Lissu vyovyote mtakavyomfanyia umafia lakini atabaki kuwa jasiri na ataishi mioyoni mwa watu maana ameonesha ujasiri wa kutoogopa maovu ya mfalme kuyasema jambo ambalo watu wote pamoja na usomi wao limewashinda na kujificha chini ya uvungu mwa meza
Wewe endelea kujifariji kuwa kifo cha Lissu kitaleta furaha katika maisha yako na hao wauaji wenzioManeno ya kujifariji hayo na ya mtu aliyekata tamaa, hata Philemon Ndesamburo, Bob Makani wote walikuwa Chadema lakini walifariki. Kifo kila mwanadamu atapitia bila kujali katenda maovu au mema.
Mbona akina Profesa Jay, Joseph Selasini na wengineo wanafanya siasa za kistaarabu na hawapungukiwi na kitu.
Hufahamu siasa adui anaweza kuwa rafiki. Ila hoja zake zipo pale pale. Unataka kuniambia Lissu akisema anahamia CCM atakataliwa?Tundu huyu huyu aliyemtukana Edward Ngoyai halafu leo anamuita kamanda? Ni mropokaji ambaye hajaifanyia nchi lolote la kukumbuka. Huwezi kuwa shujaa kwa kuropoka bali kwa kufanya vitu vya kusaidia wananchi.
Taja hata mradi mmoja wa maana alioufanya Singida Mashariki. Hizo blah blah za katiba na upuuzi mwingine hazifanyi mtu awe shujaa, kila mtu asiye na akili timamu anaweza kuropoka kama Tundu.
Hata akikubaliwa ataenda kuwa mtu wa chini kabisa, hawezi kupewa madaraka yoyote achilia mbali nafasi ya kugombea wadhifa wowote.Hufahamu siasa adui anaweza kuwa rafiki. Ila hoja zake zipo pale pale. Unataka kuniambia Lissu akisema anahamia CCM atakataliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa ni mrengo na itikadi na si emotions kama wewe na jamaa wa Magogoni mnavyoonyesha!Hata akikubaliwa ataenda kuwa mtu wa chini kabisa, hawezi kupewa madaraka yoyote achilia mbali nafasi ya kugombea wadhifa wowote.
Huh ,ati "alichopata ni onyo tu" what the f^$K??? ,Wewe unashangilia kuchukua sheria mkononi na kuchukua maisha ya mtu juu tu ya siasa? Demokrasia na haki za binadamu gani hizo?Tundu ana ushujaa gani? Tokea lini mtu akawa shujaa kwa kuropoka na kusumbua wanaume wengine? Angekuwa shujaa kama angefanya hata jambo moja la maana jimboni mwake.
Kama Tundu ni shujaa basi ndio maana Afrika ni masikini, kuropoka tu unakuwa shujaa. Kama asipofunga mdomo wake mchafu ajiandae kupotea kabisa, alichopata ni onyo tu.
Acha kuongopa unasema hamna uhuru wa kujieleza?Nikweli kwamba katika eneo hilo Magufuli hafanyi vizuri sana, na ninaweza kusema tangu magufuli ameingia madarakani, Tanzania imekua ikiporomoka kimataifa katika viwango vya demokrasia hasahasa katika kipengele cha uhuru wa kujieleza, yaani freedom of expression, lakini bado ipo juu ya Kenya, mwenye kutaka kujua zaidi anaweza kwenda kwenye websites za transparency international ajionee,
Tatizo la Kenya ni mauaji ya wanasiasa na watu wanaojaribu kuwasema viongozi wa serikali, kama Jacob Juma, au yule mbunge aliyepigwa risasi akauliwa pamoja na dereva na walinzi wake wawili, au vitisho alivyopewa yule mwimbaji wa kijaluo aliyeimba nyimbo za kumsifia Uhuru wakati wa kampeni, wajaluo wamekasirika wanataka kumuua, amekmbilia Mwanza, au PLO anatishiwa maisha na wajaluo wenzake kwa sababu amekuwa wakili wa upande wa Jubilee, au kifo cha Msando, na wote hawa serikali inajidai kuchunguza lakini mwisho wa siku haitoi jibu lolote, ukiona uchunguzi hauna mwisho ujue serikali ina mkono wake
Huku Tanzania mambo haya ni mapya sana, yalianza mwishoni mwa utawala wa Kikwete kwa kutekwa kwa ulimboka, na katika kipindi hiki cha Magufuli naona yanashika kasi, hata hili la Tundu Lisu, sitegemei kama serikali au jeshi la polisi litakuja na taarifa yoyote ya maana zaidi ya kusema upelelezi unaendea, kwa mwendo huu wa magufuli upande wa demokrasia, muda si mrefu tutawafikia ndugu zetu wa Kenya katika list ya transparency international.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea facts kabisa mkuuGeza ulole sio kweli kwamba serikali imekataa kumtibu, sheria na kanuni tulizojiwekea ni kwamba ni lazima mtu yeyote ili apelekwe nje, ni hadi pale itakapothibitishwa kwamba hawezi kutibiwa hapa nchini, na hiyo ni lazima madaktari bingwa wa serikali wathibitishe na kumpa uhamishao, hivyo basi ilimpasa apelekwe Muhimbili kwanza, na bunge lilishaanda usafiri wa ndege kumpeleka Muhimbili ambako madaktari bingwa wangemfanyia assessment na endapo wangeona hawawezi kumtibu wangetoa referral ambay inatumika kama supporting document ya kuruhusu wiza husika zitoe pesa na kufanya logistics nyingine ikiwemo kulipia madaktari na nurses wa kumsindikiza, watu wote wamepitia mfumo huo.
Sasa kama mtu anataka asipitie mfumo huo ina maana yupo tayari kujilipia, serikali haina kipingamizi katika hilo, ila haitohusika kulipia gharama. Kwa taarifa yako, kama angepelekwa Muhimbili wala asingepelekwa nje kwa sababu Dodoma walikuwa wameshafanya sehemu kubwa ya kutoa risasi tumboni na kwa kuwa alipoteza damu nyingi, walishamuwekea damu, condition yake ilishakuwa stable kwa hiyo muhimu ni kumfanyia monitoring tu, ndicho anachofanyiwa huko Nairobi.
Sababu kubwa ya Lisu kupelekwa Nairobi ni za kiusalama, hilo linaeleweka kwamba hakuna kuaminiana kati ya Chadema na serikali, sasa haiwezikani tena mtu usiyeaminiana naye usikilize ushauri wake, Chadema imekataa ushauri wa kumpeleka Muhimbili, na Serikali haiwezi kusikiliza Chadema vile wanavyotaka, hasa kwa sababu ni kinyume na taratibu za serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
nikuulize mbona JF juwa wanatoa post flani toka server zake....wanatambua wana deal na dikteta na wanaweza waka kamatwa saa yoyote...muulize mkurugenzi....duh! hii ni nchi ama korokoroni? mmeanza kukaribia KOREA KASKAZINI KWA UCHWARAKwani hapa jf huoni kila mtu Anasema Magufuli ndio alitaka kumuua TL kwani umeona wakikamatwa?
Nikuambie tu kitu hakuna Rais duniani mzalendo patriotic and loyal kama Magufuli, Magufuli wabaya wake aliowadhibiti ndio waliotekeleza hili ili kumchafua Tanzania na duniani lakini piga ua Magufuli atabaki kuwa Rais bora Tanzania na tutampa ushirikiano 2020 lazima tumrudishe ikulunikuulize mbona JF juwa wanatoa post flani toka server zake....wanatambua wana deal na dikteta na wanaweza waka kamatwa saa yoyote...muulize mkurugenzi....duh! hii ni nchi ama korokoroni? mmeanza kukaribia KOREA KASKAZINI KWA UCHWARA
nampenda sana Magu ila ana shida na uhuru wa raia na wanasiasa kujieleza...hapo tu ndio sikubaliani naye ila 98% he is the best...Nikuambie tu kitu hakuna Rais duniani mzalendo patriotic and loyal kama Magufuli, Magufuli wabaya wake aliowadhibiti ndio waliotekeleza hili ili kumchafua Tanzania na duniani lakini piga ua Magufuli atabaki kuwa Rais bora Tanzania na tutampa ushirikiano 2020 lazima tumrudishe ikulu
Siongopi, ila nimetumia ushahidi wa tafiti za kimataifa, ingia hapa, www.rsg.org , ulinganishe kati ya Kenya na TZ, na imekua hivyo tangu nchi hizi mbili zilipopata uhuru, ukilinganisha hii ripoti ya mwaka 2017 na ile ya mwaka 2016 utaona Tanzania imeporomoka, hii ni kutokana na Magufuli kuanza kukandamiza wapinzani, lakini bado Tanzania ipo juu ya Kenya tofauti ya nafasi 12
Mkuu kuhusu Magufuli hajakataza wanasiasa kuongea, wanafanya mikutano kwenye majimbo yao na press conference kila siku na kumtukana Magufuli mpaka huko Bungeni,nampenda sana Magu ila ana shida na uhuru wa raia na wanasiasa kujieleza...hapo tu ndio sikubaliani naye ila 98% he is the best...
Ninakuunga mkono katika hili, hapo ndipo kwenye Mapungufu yake. Ninahisi labda anataka kufanya vitu vingi ndani ya muda mfupi kwa hiyo hataki mtu yeyote au kitu chochote kumchelewesha, japo anaweza akawa na nia nzuri ila njia anayotumia sio saws katika eneo hili. Katika hili la Tundu Lisu, uwezekano wa serikali kuhusika ni 95%, na kama ikifika mwisho wa mwezi huu wahusika hawajakamatwa, hiyo itathibitisha kwamba 100% ni serikali na hakuna mtu atakayekamatwa tena.nampenda sana Magu ila ana shida na uhuru wa raia na wanasiasa kujieleza...hapo tu ndio sikubaliani naye ila 98% he is the best...
kweli kabisa ila sio swala la wanasiasa pekee yake....what abt when he arrests musicians like Nay wa Mitgeo...kulikuwa na lyrics flani zilizomtaja rais na hazikumpendeza rais hivyo akaamrisha kukamatwa kwa mwanamziki yule...pili, mkurugenzi wa JF pia alikamatwa kwa kosa lipi? wanahabari wanafaa kukubaliwa kuripoti ukweli wa mambo hata iwe haimpendezi rais? au sio mkuu? angalia Marekani, CNN ABC etc wanaripoti mambo mabaya kumhusu Trump ila hawezi akaamrisha kukamatwa kwa yeyote ama kufungwa kwa kampuni yoyote...imagine na yule ni rais wa dunia ....Mkuu kuhusu Magufuli hajakataza wanasiasa kuongea, wanafanya mikutano kwenye majimbo yao na press conference kila siku na kumtukana Magufuli mpaka huko Bungeni,
Magufuli amekataa maandamano kwa nia njema kwamba ndio utaandamana lakini mwisho wa siku utawasilisha message kwa serikali ambayo pia wangeweza kupata hiyo message bila maandamano
Ambayo kihistoria maandamano Tanzania awamu ya kikwete ndio yaliyoua watu wengi kwenye siasa na kurudisha shughuli za maendeleo nyuma sana.
Kusudi la Rais kukataza maandamano ni kuchochea kuchapa kazi na kuacha siasa za maandamano ambazo hazitatui shida za wananchi hakuna maji, infrastructures, elimu bora, good Healthcare zinazopatikana kwenye maandamano.
Lakini ukumbuke enzi za Kikwete chuki kwa Rais ilikua ni mara tano ya unazozisikia leo kwa Magufuli.
very true but when it comes to other matters, especially kupigana na wapiga dili (corrupt), nakwambia kuwa kuna wakenya wengi sana wanampenda Magu...mimi nikiwa wa kwanzaNinakuunga mkono katika hili, hapo ndipo kwenye Mapungufu yake. Ninahisi labda anataka kufanya vitu vingi ndani ya muda mfupi kwa hiyo hataki mtu yeyote au kitu chochote kumchelewesha, japo anaweza akawa na nia nzuri ila njia anayotumia sio saws katika eneo hili. Katika hili la Tundu Lisu, uwezekano wa serikali kuhusika ni 95%, na kama ikifika mwisho wa mwezi huu wahusika hawajakamatwa, hiyo itathibitisha kwamba 100% ni serikali na hakuna mtu atakayekamatwa tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu nay wa mitego hakuna ushahidi wa moja kwa moja Rais kuhusika, issues ambazo utaweza kumuhusisha Rais na kiukweli ukaeleweka na kuishaishawishi jamii ni kama hii ya Lissu.kweli kabisa ila sio swala la wanasiasa pekee yake....what abt when he arrests musicians like Nay wa Mitgeo...kulikuwa na lyrics flani zilizomtaja rais na hazikumpendeza rais hivyo akaamrisha kukamatwa kwa mwanamziki yule...pili, mkurugenzi wa JF pia alikamatwa kwa kosa lipi? wanahabari wanafaa kukubaliwa kuripoti ukweli wa mambo hata iwe haimpendezi rais? au sio mkuu?