Tanzania's Tundu Lissu recovering well at Aga Khan Nairobi

Mungu ni mkubwa learned brother atapona tu.
 
Wanaumiza vichwa, siku Lissu akirudi itakuaje!? Wanatamani wasikie habari mbaya. Lakini Mungu ni zaidi ya Sizonje na Bashite. Lissu atarejea nchini akiwa mzima.

Tuendelee kumuombea.
 
Wanaumiza vichwa, siku Lissu akirudi itakuaje!? Wanatamani wasikie habari mbaya. Lakini Mungu ni zaidi ya Sizonje na Bashite. Lissu atarejea nchini akiwa mzima.

Tuendelee kumuombea.
Si ajabu hata rambirambi za kifo chake nazo walikuwa washazipangia mradi wa kutekeleza.
 
Kumbuka madaktari wa kwanza waliomuhudumia lisu na pengine kuokoa maisha yake ni madaktari wa SERIKALI wa hospitali ya general mkoani dodoma!
 
Reactions: Oii
Mungu siku zote hulinda uhai wa mtu. Ee Mwenyezi Mungu naomba uzidi kuimarisha afya ya Lissu. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…