Tetesi: Tanzanite yetu ndo inampa Jeuri Kagame kuifadhili Arsenal? Wazungu nao wamemjia juu Kagame

Tetesi: Tanzanite yetu ndo inampa Jeuri Kagame kuifadhili Arsenal? Wazungu nao wamemjia juu Kagame

Tang Zhou

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2018
Posts
1,206
Reaction score
2,588
There is a lot of talk katika mji wa Mirerani kuhusu uchimbaji na biashara ya madini ya Tanzanite sasa kudhibitiwa na Rwanda, na ukikaa kwenye sehemu za starehe utasikia kila kitu, hata usiyopenda kusikia...na mahali fulani nilikaa na mashabiki flan wa Arsenal wanatamba kwamba nchi maskini ya Rwanda wana uwezo wa kuifadhili Arsenal, moja ya klabu za soka Tajiri kabisa duniani, kwa sababu tayari wanadhibiti sehemu kubwa ya biashara ya madini hapa TZ, na hasa TANZANITE, na ndiyo walidemand Mirerani pajengwe Ukuta kuzunguka eneo lote panapofanyika Uchimbaji....HAYA SI MANENO MADOGO!

Wakati huo huo Waingereza pamoja na wanaharakati Wanyarwanda wanaoishi Uhamishoni nao wanamnyoosha Kagame, how come nchi maskini ambayo hupokea msaada wa pauni mil.62, pesa za walipa kodi maskini wa Uingereza, itumie pauni mil.30 kuwafadhili Arsenal, moja ya Klabu Tajiri kabisa duniani? Wanataka Uingereza isitishe msaada wake kwa Rwanda, na Arsenal ijitoe kupokea pesa hizo!
IMG-20180528-WA0001.jpg
 
Leo hii ukiwa unajiita kabisa Great Thinker wa JF halafu ukawa unawashangaa na unaungana na Wazungu wachache katika Kumsema vibaya Rais Kagame na Kupinga maamuzi yake ya Kuidhamini nchi yake ya Rwanda kupitia Klabu ya Arsenal nitashindwa kukutofautisha na Wapumbavu wachache fulani fulani.

Hakuna asiyejua kuwa Wazungu hasa Uingereza wana chuki ya chini chini na Rais Kagame hasa baada ya Kagame kila mara akionekana akiwasema / akiwananga Wazungu kwa Kuwanyonya na kuwasababishia umasikini na maumivu ya Kiuchumi Waafrika.

Ni uimara wa Rais Kagame katika kuyasimamia yale anayoyaamini na kutopenda ' manyanyaso ' ya Wazungu ambao walikuwa wakidhani watampanda Kichwani Kagame ili wazidi kuendeleza kile ambacho walikuwa wakikiendeleza pale tulipokuwa ' Makoloni ' yao.

Logically tu ni kwamba nia ya Rais Kagame kuamua Kuidhamini nchi yake kupitia Klabu Kubwa kama ya Arsenal ni jambo jema sana hasa ukizingatia kwamba sasa hivi nchini Rwanda kumezinduliwa Mbuga nyingine mpya za Wanyama Kenda / Tisa tena zenye Wanyama ' vivutio ' kabisa kwa Watalii hivyo basi ujio wa Watalii wengi nchini Rwanda kutasaidia kuiongezea pato nchi ya Rwanda ambayo Hela hiyo sasa itatumika katika kuboresha huduma mbalimbali na muhimu za Kijamii na hata kuzidi Kuijenga Rwanda katika mifumo yake ya Miundombinu.

Mwisho labda kwa taarifa yako tu na kwa Kukusaidia hakuna Kiongozi yoyote wa Afrika ambaye anaonekana ni ' madhubuti ' katika kuwapigania Waafrika na Rasilimali zao akaonekana ni Mtu mwema kwa Wazungu ambao siku zote wanapenda Kutunyonya na Kutukandamiza Waafrika na Waafrika baadhi walivyo Wapumbavu badala ya Kusikitika sasa nao wanageuka kuwa sehemu ya ' Critics ' wachache kwa Viongozi ' mashujaa ' wa Afrika.

Rais Paul Kagame yupo sahihi kwa 100% kwa maamuzi yake dhidi ya Udhamini wa nchi yake kupitia Klabu ya Arsenal.

Kila la kheri.
 
Raisi Kagame ametangaza sekta ya utalii ya Rwanda kwa kuidhamini timu ya mpira wa miguu ya Arsernal, na hajaidhamini nchi yake!
 
Raisi Kagame ametangaza sekta ya utalii ya Rwanda kwa kuidhamini timu ya mpira wa miguu ya Arsernal, na hajaidhamini nchi yake!

La msingi hapa ni kwamba ameamua Kuitangaza Sekta ya Utalii ya nchi yake ya Rwanda kupitia Klabu ya Arsenal na sioni haja au mantiki yoyote ya Wewe kama vile kutaka kuanzisha Bundesliga / Ligi / Mabishano kwa Kitu ambacho kimeeleweka vyema tu halafu ni cha kawaida mno.
 
Ten reasons to visit Rwanda, a country which goes far beyond gorillas and genocide
2
RwandaVolcanoesNationalParkGETTY_TRAVEL.jpg

Rwanda is a country of dramatic landscapes CREDIT: THIS CONTENT IS SUBJECT TO COPYRIGHT./ULLSTEIN BILD

5 JUNE 2017 • 10:04AM

It is an African country whose name will always be tinged with tragedy – but which is also known as a fabulous destination for wildlife and adventure. Better still, as of now, Rwanda is more accessible from the UK than ever before. Reasons to go? Try these 10...

(1) You can fly direct from Britain
With a role-call of neighbours that includes one of Africa’s best-loved safari destinations (Tanzania, to the east), but also a trio of countries which perhaps fit the description “off the beaten track” (Burundi to the south, Uganda to the north, the Democratic Republic of the Congo to the west), Rwanda could be regarded as one of the more unreachable areas of a continent that is not known for ease of travel. However, last week, this little nugget of a state (it amounts to just 10,169 square miles – which makes it the fourth smallest country on the African mainland, behind The Gambia, Swaziland and Djibouti) became directly linked to the UK. May 26 witnessed the arrival at London Gatwick of the first RwandAir service from the national capital Kigali. This nine-hour air bridge will operate three times a week, with return fares starting from £368 (01293 874 922; rwandair.com).

Getty_Images__c__D_2438470a.jpg

Rwanda's gorilla population is world-famous CREDIT: (C) DAVID YARROW PHOTOGRAPHY/DAVID YARROW PHOTOGRAPHY
(2) It has very big and very famous animals…
In popular perception, the key reason to visit Rwanda is its mountain gorilla population. And rightly so. These glorious creatures haunt Volcanoes National Park, in the far north-west of the country (where it rubs up against Virunga National Park in the DRC and Mgahinga Gorilla National Park in Uganda to create one colossal cross-border expanse of wildlife and wonder). Access is, of course, carefully controlled – but, as of 2015, 10 gorilla groups can be glimpsed by tourists, with 80 passes available per day. These are not cheap – £990 per person, bookable through the Tourism and Conservation Reservation Office of the Rwanda Development Board (00252 57 65 14; reservation@rwandatourism.com) – but the experience is inimitable. More details here.

Promoted Stories

(3) …but there is more to the mountains than primates
As its name suggests, Volcanoes National Park also knows a thing or two about vast fire-breathing peaks. To be exact, it incorporates five of the eight volcanoes which give the ridgeline of the Virunga Mountains a lava-born grandeur. Mount Karisimbi is the highest of these behemoths – tall enough, at 14,787ft (4,507m), for snow to be present on its summit during the annual dry season of June-August (indeed, its name loosely translates as “snow” in the local language, Kinyarwanda). For all this, it can be conquered on foot (thankfully, the volcano is regarded as inactive). The hike upwards – which takes two days, and is described as “strenuous yet rewarding” – is detailed in full at the national park website (volcanoesnationalparkrwanda.com/activities/mount-karisimbi-hike.html).

RwandaAkageraNationalParkAP_TRAVEL.jpg

Akagera National Park is a classic safari enclave CREDIT: ©BOGGY - STOCK.ADOBE.COM
(4) Here be lions, too
Rwanda is rarely considered a classic safari destination, but for those seeking things that roar and growl in the night, Akagera National Park (akageranationalpark.org) is home to a full quota of the Big Five (lion, rhino, elephant, buffalo, leopard). Spreading out on the east flank of the country, shaped by the border with Tanzania and the River Kagera, this verdant enclave of savannah and wetland suffered during Rwanda’s turbulent Nineties, when poaching and subsistence hunting robbed it of most of its inhabitants. But it has regathered itself considerably since 2009, when it was taken under the wing of rescue and rehabilitation group African Parks (see african-parks.org/the-parks/akagera). Seven South African lions were introduced in 2015, and 20 black rhinos were brought in as recently as last month. These are still faltering baby steps, but Akagera is walking a road to recovery.

(5) The treeline is alive with the flutter of feathers
There are further members of Rwanda’s National Parks club. Pinned to the south-west of the country, where it brushes the border with Burundi, Nyungwe Forest National Park (rwandatourism.com/destinations/nyungwe-national-park) is an example of Africa at its most raw – a dense patch of pristine jungle where chimpanzees leap from branch to branch, and more than 300 bird species caw and call in the upper leaves. This is a remote and undeveloped realm – though not so undeveloped that tourism steers clear. A canopy walkway ebbs through the treetops some 60 metres above the ground (tours US$60/£47).

KigaliGenocideMemorialGETTY_TRAVEL.jpg

Kigali Genocide Memorial Centre offers bleak remembrance CREDIT: 2014 GETTY IMAGES/CHIP SOMODEVILLA
(6) The country has moved on from its darkest hours…
And they were dark indeed. The Rwandan Genocide of April-July 1994 was one of humanity’s most desperate episodes – a horrifying period of bloodshed when up to one million members of Rwanda’s Tutsi population were massacred by the majority Hutu government. This was one of the consequences of the Rwandan Civil War (1990-1993) – and, in turn, caused the displacement of two million more (largely Hutu) people. Bleak and depressing stuff – and if you find yourself in the capital Kigali, you should surely acknowledge it. The city’s Genocide Memorial Centre (kgm.rw) cradles the remains of some 250,000 victims of this ethnic cleansing, and makes as difficult and as disgusted a statement on man’s inhumanity to man as any similar landmark amid the “Killing Fields” of Cambodia or the concentration camps left behind by Nazi Germany. That said, while what occurred in Rwanda 23 years ago will always cast a shadow, it is not a dominating factor of life in a country that has certainly found its feet in the subsequent two decades. Since the turn of the millennium, average life expectancy has risen from 47 to 60 years.

(7) …and is also pretty safe
While travellers in sub-Saharan Africa should always take the standard precautions when it comes to drinking water, personal security and other such fragments of common sense, Rwanda is a country which can be explored with reasonable confidence. The Foreign and Commonwealth Office has a few words of warning on parts of the borders with the DRC and Burundi, but otherwise reassures would-be visitors that “Rwanda is generally safe and crime levels are relatively low.” Full details via gov.uk/foreign-travel-advice/rwanda.

KigaliRwandaAP_TRAVEL.jpg

Kigali sprawls up slopes and hillsides CREDIT: (C)2015 COPYRIGHT BY VADIM NEFEDOV. ALL RIGHTS RESERVED./VADIM NEFEDOV (VADIM.NEFEDOFF@GMAIL.COM,SKYPE:VNEFEDOV.SKYPE)
(8) Its capital is an intriguing place for a day or two
Pitched roughly at the geographic centre of the country, Kigali could probably be called a work in progress, fanning out, in that sprawling fashion of major African cities, across hillsides and slopes. With a population of more than a million, this is no tiny conurbation, but it reveals its charms gracefully. Both the central districts of Kacyiru and Kiyovu have lively restaurant scenes, and the Serena Hotel (serenahotels.com/serenakigali) offers five-star accommodation and a refreshing courtyard swimming pool.

LakeKivuRwandaAP_TRAVEL.jpg

Lake Kivu offers splendid shoreline CREDIT: ©BILDGIGANT - STOCK.ADOBE.COM
(9) There is no sea, but there is plenty of water
Defiantly land-locked, and kept away from the life-giving depths of Lake Victoria by 100 miles of Tanzanian landscape, Rwanda nonetheless has a shoreline to call its own. This is on Lake Kivu, which defines some of the frontier with the DRC. While this is ranked as the second smallest of the African Great Lakes – just 56 miles long by 31 miles wide at its fullest dimensions – this liquid-blue puddle on the map is worth an afternoon or several of any traveller’s time. It makes for a perfect place to pause en route between Nyungwe and Volcanoes National Parks – perhaps in the town of Gisenyi (also known as Rubavu), where resort hotels dot the water’s edge, and broad sunsets await each evening.

(10) Travel packages are plentiful
A new luxury lodge, the One&Only Nyungwe, is opening this summer on the edge of the Nyungwe National Park.

No longer a niche option for a holiday, Rwanda is also offered by a number of African travel specialists. These include Expert Africa (020 3405 6666; expertafrica.com/rwanda), Steppes Travel (01285 601 646; steppestravel.co.uk/rwanda-holidays), Timbuktu Travel (020 7193 1326; timbuktutravel.com/country/rwanda-safari) and Natural World Safaris (01273 691 642; naturalworldsafaris.com/africa/rwanda). You can also find further information in our own Rwanda section: telegraph.co.uk/travel/destinations/africa/rwanda
 
It all about relationship between investment and profit.

If you spend 32m USD and earn 3.2billions that is great investment.

The air time and column inches in newspapers, social media, radios, internet have done more to advertise Rwanda than anything in the last year.
 
Rwanda partners with Arsenal to boost tourism
0

Rwanda is to become the official tourism partner of Arsenal and the Premier League football club’s first ever shirt sleeve partner.

The three-year partnership will see the new “Visit Rwanda” logo featured on the left sleeve of all first team, under-23 and Arsenal Women’s matches from the new season this August.

The deal will among others highlight Rwanda’s tourism offerings such as the National Parks, which are attracting record number of tourists due to growing numbers of wildlife including black rhino, lions, zebra, chimpanzees and the famous mountain gorillas, as well as the investment opportunities in the country.

Rwanda received 1.3 Million visitor arrivals in 2017. 94,000 tourists visited Rwanda’s three national parks of Nyungwe National Park, Akagera National Park and Volcanoes National Park. Tourism has generated 90,000 jobs and is Rwanda’s largest foreign exchange earner.

Rwanda is ranked as the third easiest place to do business in Africa by the World Bankand has been awarded for its leadership in tourism and competitiveness by the World Travel and Tourism Council (WTTC) and the World Economic Forum respectively.

Rwanda Development Board Chief Executive Officer, Clare Akamanzi said: “We’re thrilled to be partnering with Arsenal and showcasing the vibrancy and beauty of our country. Rwanda is a country pulsing with energy, creativity and innovation.

“Visit Rwanda and discover why we are the second fastest growing economy in Africa. Investors in Rwanda are able to register their businesses in only six hours and prepare to enjoy the opportunities accrued from the free trade agreements that we’ve signed with over 50 countries.

“Renowned for our incredible and unique Mountain Gorilla tracking experience, tourist can also enjoy a variety of water sports, cycling, hiking, bird watching to list a few of the touristic attractions available while in Rwanda.

“In addition, we are telling investors to Visit Rwanda and discover why we are the second fastest growing economy in Africa, growing at 7.3% per annum.

We want them to know that investors in Rwanda are able to register their businesses in only six hours and immediately enjoy the opportunities accrued from the free trade agreements that we’ve signed with over 50 countries.”

Arsenal players from the men’s and women’s teams will visit Rwanda and club coaches will host coaching camps to support the development of the game for boys and girls in the country.

Visit Rwanda will gain global exposure through branding on matchday LED boards, interview backdrops and the club’s stadium tour which attracts more than 250,000 visitors each year. They will also have the opportunity to engage Arsenal fans around the world through the club’s social media channels.

Arsenal’s Chief Commercial Officer, Vinai Venkatesham, said: “This is an exciting partnership which will see us support Rwanda’s ambition to build their tourism industry. The country has been transformed in recent years and Arsenal’s huge following will bring Rwanda into people’s minds in a new and dynamic way.

The Arsenal shirt is seen 35 million times a day around the world and we are one of the most viewed teams around the world. We look forward to working with the Visit Rwanda team to further establish the country as a tourist destination.”

The partnership is also being supported by National Geographic who will promote Rwanda as an important tourist destination.
 
La msingi hapa ni kwamba ameamua Kuitangaza Sekta ya Utalii ya nchi yake ya Rwanda kupitia Klabu ya Arsenal na sioni haja au mantiki yoyote ya Wewe kama vile kutaka kuanzisha Bundesliga / Ligi / Mabishano kwa Kitu ambacho kimeeleweka vyema tu halafu ni cha kawaida mno.
inaweza kuzalisha $30m baada ya miaka mingapi?
 
It all about relationship between investment and profit.

If you spend 32m USD and earn 3.2billions that is great investment.

The air time and column inches in newspapers, social media, radios, internet have done more to advertise Rwanda than anything in the last year.

kagame uzuri wake anafanya mambi kisomi na anafuata ushahuri namaini hii sio bahati mbaya na atafanikiwa.

soma hapa: Numbers dont lies

https://www.wttc.org/-/media/files/reports/economic-impact-research/countries-2018/rwanda2018.pdf
 
Attachments

inaweza kuzalisha $30m baada ya miaka mingapi?

Mkuu mkataba ni w amika miwili kule Arsenal, ila imapct yake naamini ni forever.

Embu soma hapa:

Visit Rwanda will gain global exposure through branding on matchday LED boards, interview backdrops and the club’s stadium tour which attracts more than 250,000 visitors each year. They will also have the opportunity to engage Arsenal fans around the world through the club’s social media channels.

Arsenal’s Chief Commercial Officer, Vinai Venkatesham, said: “This is an exciting partnership which will see us support Rwanda’s ambition to build their tourism industry. The country has been transformed in recent years and Arsenal’s huge following will bring Rwanda into people’s minds in a new and dynamic way.

The Arsenal shirt is seen 35 million times a day around the world and we are one of the most viewed teams around the world. We look forward to working with the Visit Rwanda team to further establish the country as a tourist destination.”

The partnership is also being supported by National Geographic who will promote Rwanda as an important tourist destination.
 
Kwahiyo siyo Kenya tena inayofaidi Tanzanite bali ni Rwanda

Itakuwa waliobanwa mbavu na Ukuta cut yao imekua ndogo, wanachafua ilimradi kila mtu akose.

Magufuli was Right to build the wall.

Embu soma vitu kama hivi, unajisikiaje?

“Visit Rwanda and discover why we are the second fastest growing economy in Africa. Investors in Rwanda are able to register their businesses in only six hours and prepare to enjoy the opportunities accrued from the free trade agreements that we’ve signed with over 50 countries.
 
You need no visa to visit Rwanda in 2018

This is how it is stated, “to all citizens of the world, effective 1 January 2018, Rwanda will grant you a 30-day visa upon arrival without prior application.”

Before that, only nationals of African countries and few others were getting visa upon arrival.

Indeed, Welcome to Rwanda!
 
kagame uzuri wake anafanya mambi kisomi na anafuata ushahuri namaini hii sio bahati mbaya na atafanikiwa.

soma hapa: Numbers dont lies

https://www.wttc.org/-/media/files/reports/economic-impact-research/countries-2018/rwanda2018.pdf

Kagame is Dikteta, amefanya vibaya kwenye mambo fulani huko DRC na hapo Rwanda lakini anafanya mambo ya maana kwa nchi yake.

Siyo mjinga kabisa. Kama siyo yeye nchi yake leo labda ingekuwa kama Syria, DRC au Somalia. Inabidi kujifunza kuona hasi na chanya kwenye kila mtu na kila situations.
 
Back
Top Bottom