There is a lot of talk katika mji wa Mirerani kuhusu uchimbaji na biashara ya madini ya Tanzanite sasa kudhibitiwa na Rwanda, na ukikaa kwenye sehemu za starehe utasikia kila kitu, hata usiyopenda kusikia...na mahali fulani nilikaa na mashabiki flan wa Arsenal wanatamba kwamba nchi maskini ya Rwanda wana uwezo wa kuifadhili Arsenal, moja ya klabu za soka Tajiri kabisa duniani, kwa sababu tayari wanadhibiti sehemu kubwa ya biashara ya madini hapa TZ, na hasa TANZANITE, na ndiyo walidemand Mirerani pajengwe Ukuta kuzunguka eneo lote panapofanyika Uchimbaji....HAYA SI MANENO MADOGO!
Wakati huo huo Waingereza pamoja na wanaharakati Wanyarwanda wanaoishi Uhamishoni nao wanamnyoosha Kagame, how come nchi maskini ambayo hupokea msaada wa pauni mil.62, pesa za walipa kodi maskini wa Uingereza, itumie pauni mil.30 kuwafadhili Arsenal, moja ya Klabu Tajiri kabisa duniani? Wanataka Uingereza isitishe msaada wake kwa Rwanda, na Arsenal ijitoe kupokea pesa hizo!
View attachment 788288