Tetesi: Tanzanite yetu ndo inampa Jeuri Kagame kuifadhili Arsenal? Wazungu nao wamemjia juu Kagame

Is there anything impossible when the smartest person comes across a lifetime all-knowing b.ogus so-called president?
That's your point of view, but to some of us, he's a real hero!
 
Wait for the downfall you never imagined.....
Which downfall? Am doing just fine! Am not among the league of idiots who complains everyday and night about the administration cz they want the easy way! Well, i prefer the hard way, it sharpens my "state of mind"! Good lucky with the waiting!! Pure nonsensical. As of me am waiting for the upcoming of Jesus! Cz its so real!
 
Hakuna kitu mzee, watu wazushi tu hili ni taifa kubwa lenye vyombo imara vya ulinzi na udhibiti.
Rais Magufuli hawezi kuwa hivyo mnavyodhani.
Kweli kabisa. Rais wangu ninamuamini. Hata yeye personally akiamua kufanya hivyo hataweza kutokana na mfumo wenyewe wa Tanzania ulivyo.
 
Dah I have no words for your claim and your mindset, hivi ww ni mtanzania kweli na mzalendo au ni mkimbizi?? Kwa akili ya kawaida, Itakuweje Rwanda imiliki madini, uchimbaji au industry ya madini Tanzania. I doubt hata kama umefanya research(no research, no right to speak). Je ulishafika mererani, unajua hata iyo Tanzanite au mgodi unafanana vipi , je hata mmiliki mmoja wa mgodi unamjua (exclude tanzanite one ambayo inamilikiwa na investor), je unafahamu sheria za uchimbaji madini kwa mgeni au mwenyeji?


 
Kwani Dada mange yeye anasemaje kuhusu hilo?
 
mr.slim anatafuta ubaba wa taifa rwanda...kwa kutumia kila aina ya akili aliyonayo....
 

Evidence please.
 
lengo limeshafikiwa tayari!

Kwasasa dunia nzima wanaizungumzia Rwanda kudhamini timu ya soka ya arsenal kwaajiri kutangaza utalii.
 
Hivi kwa mfano haya yakiwa ni ya kweli ,wale wavaa kaunda suit wana role gani ili kuyazuia haya ?
 
Mkuu,, sijaamini bado kama na wew una msupport kagame ,iko hivi
Kagame ame sponsor hiyo team kwa ajili ya kinachodaiwa ni kitangaza utalii kwa pesa yote hiyo ,hivi hizo ni akili kweli ? Kwanini asitangaze utalii kwa njia ya tv ? Kuna channels kama national geographic na wana magazines zao kwanini asiwatumie hao which is very cheap kuliko ku sponsor arsenal ? .mimi naona huyu member yuko sahihi

Kagame kafanya upuuzi kuna njia nyingi za publicity ila sio hiyo

Ngoja nikupe hoja nyingine, hivi kati ya sisi tanzania na rwanda wapi wana vivutio vingi vya utaliii ? Jibu ni Tanzania ,sasa kama sisi na kua na kila kivutio cha utalii na bado tuna watalii wachache ,rwanda watalii waongezeke kwenda kuangalia nini ?

Hoja nyingine
Sisi tanzania watalii wanaongezeka kila siku mbona kikwete hakwenda ku sponse team yoyote nje au JPM

Mkuu,hukufaa kuunga mkono akili za kagame wewe kama great thinker
 
Waambie hao. Hawana ushahidi hata chembe.
 

Naomba unitake radhi upesi sana kwa kuniambia niache kumuunga mkono Rais wangu Kipenzi Paul Kagame, Mnyarwanda mwenzangu na kubwa zaidi Mtutsi mwenzangu. Mimi na Rwanda ni kama vile Israeli na Kifo na nitayalinda maslahi ya Rwanda popote pale na kwa nguvu zozote zile huku nikijivunia kabisa kuwa Mnyarwanda wa Kutukuka.
 
HILI NALO NENO,
 
The Arsenal shirt is seen 35 million times a day around the world and we are one of the most viewed teams around the world. We look forward to working with the Visit Rwanda team to further establish the country as a tourist destination.”
kiukweli watapata bonge la coverage tena dunia nzima, TZ tukifanya hivi tutatangaza vivutio vyetu haraka zaidi, tutafute global brand na global coverage tuvutie watalii zaidi
 
Mkuu ungekuwa unaleta angalau ushahidi fulani. Ina maana umiliki huo kapewa kimya kimya bila dokumaa zozote? au wale wanasejshi waliojenga ukuta walitokea rwanda?
Ukileta ushahidi humu mkuu kesho unaanzishiwa msako na wasiojulikana...usiombe kagame ukagusa maslahi yake popote ulipo duniani lazima ziraili akupate akunyofoe kiroho chako Cha ngama....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…