Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
R.I.P Kaka.................
!
!
sijawahi kumuona live ila kuna mtu aliniambia kuwa yumo kwenye video moja ya Roma Mkatoliki
Huyo babu unamuita kaka,?
Una umri sawa na le mutuz?
miaka 62? sidhani kama nitaifikisha pombe mademu kemikali za vyakula sidhani kwakweli.anyway r.i.p dingi dully nasi tutafuata
sure ametokelezea aki-drive ndinga hiyo ngoma jina nimelisahau ila ameshirikishwa jos mtambo