Tanzia: Abby Sykes (Baba mzazi wa Dully Sykes) afariki dunia

Tanzia: Abby Sykes (Baba mzazi wa Dully Sykes) afariki dunia

Yani Mzee Msela Katutoka?.Dah!.Camin.Miaka 62 Katutoka Bdo Kijana Inaumaa Sn.Mugabe Ana 99 Na Bdo Anadunda.Anyway Tusije Tukasema Sana.Mwishowe Tukapata Laana.Kwani Mambo Mengine Ni Ya Maulana Mwnyw.RIP Mzee Kijana Wt Tupo Njiani Tunakuja!
 
miaka 62? sidhani kama nitaifikisha pombe mademu kemikali za vyakula sidhani kwakweli.anyway r.i.p dingi dully nasi tutafuata
 
sure ametokelezea aki-drive ndinga hiyo ngoma jina nimelisahau ila ameshirikishwa jos mtambo

¤Hey Show me your black bandana,Hey show me Your Black bandana tongwe records-kidole cha mwisho juu(Kwenye video Mzee Sykes anaonyesha black bandana yupo ndani ya ndinga na roma)
¤Pia kwenye video ya fid q na baba yake banana(mzee zorro)-ripoti za mtaani mzee sykes anaonekana mwanzoni mwa video.
¤kwenye video ya Daz Mwalimu(Teja) akiwa na mr blue inayoitwa usiku huu,mzee sykes anaonekana yupo counter yupo na mtoto mwenye neema za alah(video queen).
 
Back
Top Bottom