Tanzia: Abby Sykes (Baba mzazi wa Dully Sykes) afariki dunia

Tanzia: Abby Sykes (Baba mzazi wa Dully Sykes) afariki dunia

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Mzee Abby Sykes afariki dunia.

attachment.php


Baba Mzazi wa Dully sykes, Ebby Sykes amefariki dunia leo.Habari hizi zimethibitishwa na Mwanae Raya Sykes.Mzee Sykes amefariki akiwa na umri wa miaka 62.
 

Attachments

  • Ebby Sykes.jpg
    Ebby Sykes.jpg
    26.1 KB · Views: 2,034
ImageUploadedByJamiiForums1424010384.056376.jpg

Wengi tutamkumbuka mzee huyu kwa ucheshi wake na jokes.

Pia tutaumis muziki wake wa marimba.

Binafsi mara ya mwisho mzee huyu nimwona Kinondoni kwenye bar ya Uhuru Peak akila gambe.

Pumzika kwa amani mzee wetu!
 
Taarifa nilizozinyofoa globalpublishers ni kuwa Baba mzazi wa Dully hatunaye tena.R.I.P
 
Apumzike kwa amani...mwanga wa milele umwangazie eeh Bwana............mengine mtanisaidia kumaliza.
 
Back
Top Bottom