Imesemwa ni bodaboda,hizi bodaboda kama mtu unaweza kuziepuka usizipande ni kifo nje nje.Afisa nini alikuwa anatumia usafiri gani?
Alale vyema
Mkuu hilo gari limeua hadi wenda kwa miguu na wauza matunda na watu kadhaa kujeruhiwa takriban 18.Boda boda ni tiket ya kwenda kaburini.
Kwa Tanzania yetu ,Boda boda zinaua watu wengi kuliko hata ukimwi ama kansa
Jinsi ilivyotokea huwezi kulaumu gari imekosa break ikaingia kituoni wakati huo mama wa watu nae ndio anajiandaa kupanda boda hapo arudi kwake..habari zikaishia hapo.Imesemwa ni bodaboda,hizi bodaboda kama mtu unaweza kuziepuka usizipande ni kifo nje nje.
Kuna hizo halafu kuna Bajaj,Morogoro Road yote kutoka Manzese mpaka Kiluvya madereva wake hawana tofauti na wanaoendesha bodaboda kukutia kwenye semi ni kugusa tu