TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Kukosea kuoa ni janga baya zaidi katika maisha ya mahusiano, kiukweli marehemu alikuwa amempenda sana huyu dada ila huyu dada alikuwa anaigiza. Dah hata picha za harusi na matukio mengine jamaa alikuwa ana tabasamu ya ukweli ila dada yetu hakuwa naye kabisa kimapenzi.
Wahenga walishasema " Mapenzi yanaua mama haaaaa, wawili mnapopendana hahahaha Kumbe mapenzi sikia haloo hoo.... Sina zaidi' Ila nimesikitika saaana
 
Very True...we unamjua Irene kiukweli..

Bonge moja la msela ila anapenda mab.o.ro hatari hatari
 
mbona bongo muvi wengi wanafukuliwa viazi vya uporoto iyo ndio michezo yao
 
RIP Brother. Ila wanawake wengi ni maadui wakubwa. Huyu jamaa kunauwezekano Stress imemletea Heart attack kwani alipokuwa na hali nzuri ya kiuchumi alipata kila aina ya mapenzi kutoka kwa Irene lakini alipostaafu mambo ya soka Irene alipogundua jamaa financial hayuko vizuri akaamua kum dump. Soma message yake ya mwisho ilifikia hatua hata mawasiliano na mtoto wake yakakatika. Men hii inatufundisha tuwe careful katika kuoa kwani wanaume wengi wamepata mtihani huu.
Irene Uwoya asifikilie ameshinda kwa kutoa Crocodile Tears kwani what's going around comes around.
 
We ulikuwa unamjua ababuu?...weka mbali na chekechea

Kaivuruga bongo movie ya kike kama baikoko, acha kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ababuuu nomaaa!sishangai kua na ngoma kuna kipindi wolpa na uwoya walikhitilafiana sababu ya ababuu
Eti siku hiyo linahojiwa linajiliza " mi ndiku sikumpenda kuna mtu ninaye nampenda sana" wanawake sisi
Aliolewa ili akaangalie mkato wa chumba na kutukomesha wambea
 
hivi kuoa mwanamke ambaye ameisha oa si mikosi mitupu jaman!
 
Hahahahahah mzee baba ww ni mzaramo nin mbona unafunguka ki mafumbo mpaka bhasi,haya bhana yetu [emoji102] na [emoji101]
 
Ndikumana inaonekana alikuwa hatii watoto wa kinyaruanda mbona angepowa tu.
 
Duh!Kipi bora sasa? michezo ama mazoezi au kukaa bila kuchosha misuli ya moyo?
Kutofanya mazoez ni hatari zaidi, utapata cardiac arrest, blood pressure, heart attack, stroke nk..

Kwa wanamichezo wanaofanya check up ni rahisi kuzuia kwa sababu mara nyingi hakuna dalili za wazi.. Na cardiac arrest si kama malaria kwamba kila mtu hupata ingawaje ukipata una dakika 3-5 za kuishi kabla ya kufanyiwa huduma ya dharura..

Inayotokana na matatizo ya moyo moja kwa moja ni complicated, lakini inayotokana na mitindo ya kimaisha inazuilika na moja ya njia ya kuzuia ni kufanya mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…