TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Izrael sa nyingne kumbe muoga, anavizia ukiwa umelala. Dawa ni kulala na panga mkononi, au akiingilia kwenye pembe ya ukuta we unapotea kwenye sakafu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acheni uchawi, ndoa ifungwe wiki zilizopita heart attack itokee leo? Au ndo kwamba jana alikua anamuwaza sana? Bora mniambie jana dogo janja ndo alimgegeda uwoya wakamtumia picha jamaa. Kama ni kweli bas ubongo na moyo wake havina ushirikiano, yan ubongo ulijua mtu kafunga ndoa wiki iliyopita taarifa ikafika kwenye moyo jana, Izlaeri akafanya yake.
[emoji1] [emoji1] I also wonder!
 
Huyu ndo alimuingilia ndiku kwenye ndoa yake
Kumbe ngoma?
Numbisa
42c6e3fd705ebb042204ca3bf55b2022.jpg


Kwa maelezo yake alipima afya yake akajikuta yupo gado
 
Jamani tubet nani anafuata.
Zari -Diamond = Ivan
Uwoya -Janjaro =Ndikumana
solve Zamaradi vs Jamaa yake mpya=?
Soln
from eqn 1&2 use log X base 10 both sides
Also let Ruge to be an Element of X. Wadau wa Integration mtaendelea.
RIP NDIKUMANA
Duuuh!
 
Habari ya kusikitisha, ni Kwamba wachezeaji wawili nchini Rwanda wamefariki Usiku wa kuamkia leo kila mmoja akiwa nyumbani kwake. Hategekimana Bonaventure aka Gangi na Mume wa zamani za Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti Wamefariki dunia. Ndikumana alikuwa kocha msaidizi wa timu ya soka ya Rayon Sports ambayo inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi nchini Rwanda.

Uongozi wa timu hiyo umesema jana Katauti alifanya mazoezi na wachezaji wake akiwa buheri wa afya. Mwili wake umekutwa nyumbani kwake mjini Kigali akiwa amefariki dunia. Haijajulikana kifo chake kimesababishwa na nini kwani hakuwa mgonjwa na wala hajafanya ajali. Mwili wake umepelekwa monchwari ya kiislamu ya dispensari ya Rwampala kwa maombi ya familia yake kwani miili ya waislamu haihifadhiwi katika monchwari za kawaida kwa mujibu wa imani zao.

Mungu ampe malazi mema peponi.
View attachment 631116 View attachment 631115View attachment 631125 View attachment 631124
Siku ya Harusi ya Irene Uwoya aka Oprah na Ndikumana Hamad ‘Katauti’
View attachment 631120 View attachment 631117
View attachment 631119
Huyu ni Mtoto wa Irene aliyezaa na Ndikumana, Krish Ndikumana

Ndikumana alizaliwa 10/05/1978.
ujumbe wake wa mwisho kwa irene
23594302_2128275387407555_7650909841782734848_n-1-jpg.631266
Daah haya maneno mazito sana dizaini kama jamaa alijiua, na sijui Irene akisoma huu ujumbe anajisikiaje
 
Back
Top Bottom