Habari ya kusikitisha, ni Kwamba wachezeaji wawili nchini Rwanda wamefariki Usiku wa kuamkia leo kila mmoja akiwa nyumbani kwake. Hategekimana Bonaventure aka Gangi na Mume wa zamani za Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti Wamefariki dunia. Ndikumana alikuwa kocha msaidizi wa timu ya soka ya Rayon Sports ambayo inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi nchini Rwanda.
Uongozi wa timu hiyo umesema jana Katauti alifanya mazoezi na wachezaji wake akiwa buheri wa afya. Mwili wake umekutwa nyumbani kwake mjini Kigali akiwa amefariki dunia. Haijajulikana kifo chake kimesababishwa na nini kwani hakuwa mgonjwa na wala hajafanya ajali. Mwili wake umepelekwa monchwari ya kiislamu ya dispensari ya Rwampala kwa maombi ya familia yake kwani miili ya waislamu haihifadhiwi katika monchwari za kawaida kwa mujibu wa imani zao.
Mungu ampe malazi mema peponi.
View attachment 631116 View attachment 631115View attachment 631125 View attachment 631124
Siku ya Harusi ya Irene Uwoya aka Oprah na Ndikumana Hamad ‘Katauti’
View attachment 631120 View attachment 631117
View attachment 631119
Huyu ni Mtoto wa Irene aliyezaa na Ndikumana, Krish Ndikumana
Ndikumana alizaliwa 10/05/1978.
ujumbe wake wa mwisho kwa irene