TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Familia yake iwafukuze hao wapuuzi!Jumbe kafa akiwa kama mhaini ingawa ndiye Rais aliyeifanyia mema sana ZNZ kuliko Rais yyt yule

Hata hii Baraza la Wawakilishi ni yy alilianzisha mwaka 1980!Kabla ya hapo Jeshi ZNZ chini ya Kanal Bakar na baadae Brigedier Himid Mansour liikuwa linakugongea mlango na wakikuchukua huonekani tena!

Vigogo kama Dr Hanga;Dr Sherif,Mdungi Ussi,Ubwa Halj na wengineo hadi leo hawajulikani walipo presumed died!Prof Abdulrahman Babu yy alikuwa na bahati ya kutorokea Uingereza

Jumbe ndiye alianzisha utawala wa kisheria ZNZ
Brigedier Himid Mansoor...babake yule kada mpya kwa CUF....(au siye yeye?)
Hatari sana hii..
 
Huyu Maalim Sief huyu,
Mwenye kelele tele, anayeandamanisha watu kwa kudai mamlaka kamili za Zanzibar, hali yeye ndo "alimtia ndani" Mzee Jumbe kwa jambo hilo hilo?
Ama kweli dunia hadaa.......na kuishi kwingi ni kuona mengi.
Lakini si tayari anafanya kile ambacho JUMBE alikianzisha
 
Lakini si tayari anafanya kile ambacho JUMBE alikianzisha
Sio swal la kufanya alichokianzisha Jumbe.
Yeye ndo aliyekiuwa alichokianzisha Jumbe.
Huwezi fanya kile ulichomnyonga nacho mwenzio pasipo kutubu kwanza na kukiri makosa wazi wazi.
Huyu bwana Maalim ni wapi ulishamsikia akikiri kuwa ndiye aliyekwamisha mamlaka kamili Zanzibar?
Ni wapi alipoomba radhi?
Nijuze nipate kufahamu.
 
Brigedier Himid Mansoor...babake yule kada mpya kwa CUF....(au siye yeye?)
Hatari sana hii..
Yaa ni baba yake mzazi!
Baba yake alikuwa kiongozi mkubwa wa Jeshi ZNZ na baadae CCM

Kada mpya huyu wa CUF aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembesamaki Yusuf Himid Mansour akiwaambia wana CCM kama wao as a family wanaijua CCM vyema huwa haongopi

Wkt wa vita vya Uganda hasa baada ya Gadafi kuleta majeshi kuisaidia Uganda ni Brigedier Himid aliyekuwa anaongoza kikosi cha JWTZ kuwahoji mateka wa Libya ktk uwanja wa mapambano sababu yy alikuwa anajua kwa ufasaha pia lugha ya kiarab
 
Wale wanaotaka mabadiliko, hayatatokea mpaka aliyemsaliti aondelewe. Usaliti utawacost sana.
 
Hii ndio kiboko ya wanafiki. Wamempiga pini pale Kigamboni miaka yote wakati wao wakiwa wanaruka kwenda ulaya na Marekani kutibu hata vitezi vinavyoweza kutibika hata katika dispensary hapa nchini halafu walivyo wanafiki utawasikia eti Taifa limepoteza kiongozi mashuhuli, alikuwa ni mpigania uhuru, nk nk. Wanafiki wakubwa. Wamejaa uchwara mtupu mi staki hata kuwasikia. Eti na yule wa kupandikizwa urais utamsikia naye ana masikitiko. Walikuwa wapi wakati mzee anateseka pale Kigamboni? Kudai Tanganyika na Zanzibar ziwe huru ndani ya muungano ni kosa? R.I.P Aboud Jumbe!
 
Kweli mkuu unafiki kwa kwenda mbele, hata kumtembelea walikuwa hawaendi wakati ni hapo Kigamboni tu.

RIP mzee wetu mtakutana nao huko huko kwa hakimu wa Haki.
Wangekuwa na haya wasingekanyaga hata kwenye mazishi yake. Wanamthamini wakati amekufa akiwa hai walimpoteza kabisa hata tusijue kama yuko hai? Cha ajabu huu sasa ndio muda wa wanafiki kufungulia midomo ya kumsifia
 
Utawasikiaaa wanafiki wataanza kutoa sifa ken kem
Walishaanza toka jana leo wanamalizia! Angalia kwenye tv baadaye utawaona wanavyojiweka vimbele mbele na kujifanya wanauchungu
 
Awa
NYERERE ALIFUATA MAELEKEZO YA KANISA
Bora kifuata maelekezo ya KANISA maana haya ubaguzi kwa wote; kanisa halifundishi na wala halienezwi na halitaenezwa kwa upanga kama dini ya allah inavyoenezwa kwa upanga; awamu zote waumini wa allah walizotawala udini uliigubika nchi, oh! mara kadhi kwenye katiba ya nchi; mara oic, madai mengi yasiyokuwa hata nafaida bali ugaidi tu wa m-..t,,,--u,;:-'/m;-:,e

Je ni lini ulisikia KANISA linadai utaratibu wa Kibiblia uwe sehemu ya katiba ya nchi? acheni uongo ila dunia yote inajutia kuwepo kwa dini ya allah,
 
Hii ndio kiboko ya wanafiki. Wamempiga pini pale Kigamboni miaka yote wakati wao wakiwa wanaruka kwenda ulaya na Marekani kutibu hata vitezi vinavyoweza kutibika hata katika dispensary hapa nchini halafu walivyo wanafiki utawasikia eti Taifa limepoteza kiongozi mashuhuli, alikuwa ni mpigania uhuru, nk nk. Wanafiki wakubwa. Wamejaa uchwara mtupu mi staki hata kuwasikia. Eti na yule wa kupandikizwa urais utamsikia naye ana masikitiko. Walikuwa wapi wakati mzee anateseka pale Kigamboni? Kudai Tanganyika na Zanzibar ziwe huru ndani ya muungano ni kosa? R.I.P Aboud Jumbe!

Mzee, pumzika kwa amani.
 
Mkuu..umenichekesha apo waweza bambikiziwa kesi hjapata ona maishani...usalama wanakuangalia kama umeua mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa utadhani wanalinda Ikulu ya Nchi. Sisi wengine tulishindwa kufanya chochote Jana kutokana na namna ya watu waliokuwepo.
 
Awa

Bora kifuata maelekezo ya KANISA maana haya ubaguzi kwa wote; kanisa halifundishi na wala halienezwi na halitaenezwa kwa upanga kama dini ya allah inavyoenezwa kwa upanga; awamu zote waumini wa allah walizotawala udini uliigubika nchi, oh! mara kadhi kwenye katiba ya nchi; mara oic, madai mengi yasiyokuwa hata nafaida bali ugaidi tu wa m-..t,,,--u,;:-'/m;-:,e

Je ni lini ulisikia KANISA linadai utaratibu wa Kibiblia uwe sehemu ya katiba ya nchi? acheni uongo ila dunia yote inajutia kuwepo kwa dini ya allah,

Ni kweli kanisa halidai utaratibu wa ki bibilia na ndio tukapata haya Gay Catholic Priests

ZAWADI YAKO HII

Katika kitabu chake Bw. Bergen, kiitwacho Development and Religion in Tanzania, katika Ukurasa wake wa 98 mwandishi huyo anasema:- “Catholic Missionaries came to East Africa to find not new churches, but new provinces of the Roman Church” Kwa mujibu wa tafsiri yangu “Wamishionari wa Kikatoliki hawakuja hapa Afrika ya Mashariki kwa minaajili ya kuasisi Makanisa mapya, bali walikuja kuunda majimbo mapya ya Kanisa la Roma”.

Ni kwamba, Tanzania (Tanganyika) ipo Afrika Mashariki, na kwa mujibu wa mwandishi Bergen, Tanzania nayo ni moja ya majimbo ya Kanisa la Roma, au kwa lugha nyepesi tuseme Tanzania ni Koloni la Vatican!

Je, ni kweli Tanzania (Tanganyika) ni Koloni la Vatican?

Padri. Dk. Sivalon, naye katika kitabu chake Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania Bara (1953-1985) anaeleza bayana kuwa Mwalimu Julius Nyerere Rais wa Kwanza wa nchi yetu, alikuwa kiungo pekee kati ya Chama (CCM), Serikali na Kanisa Katoliki.

Viongozi wa Kanisa wamekuja kuwa na nafasi ya pekee kuelekeza hisia, mitazamo na siasa ya Tanzania, na wamefanya hivyo wakipania pia kuwa kuhujumu Uislamu. (Msomoe Sivalon Uk. 5-6,

Katika kitabu chake hicho). N ay e mwandishi Bergen katika kitabu chake amemnukuu Mwalimu Nyerere akisema kamwe hawezi kwenda kinyume na kanisa lake. (Bergen Uk. 335).

Agosti 3, 1970 Mwalimu Nyerere, alimwita Ikulu Padri Rweyemamu katika mazungumzo maalum ambapo Nyerere alimuahidi Rweyemamu kuwa, hivi sasa Kanisa ndilo lililoshika hatamu za kuongoza dola naye atahakikisha hali inaendelea kuwa hivyo. “Tanzania is not Catholic country, but Catholics is strong, I want to give the church a better chance here”.

Akiwa na maana kwamba:- japo “Tanzania si nchi ya Kikatoliki, lakini Ukatoliki una nguvu, hivyo nataka kulipa Kanisa nafasi ya pekee hapa nchini” (Msome, Bergen Uk. 335). Na hali hii ya Kanisa kuwa na nafasi kubwa Serikalini iko wazi.
 
Awa

Bora kifuata maelekezo ya KANISA maana haya ubaguzi kwa wote; kanisa halifundishi na wala halienezwi na halitaenezwa kwa upanga kama dini ya allah inavyoenezwa kwa upanga; awamu zote waumini wa allah walizotawala udini uliigubika nchi, oh! mara kadhi kwenye katiba ya nchi; mara oic, madai mengi yasiyokuwa hata nafaida bali ugaidi tu wa m-..t,,,--u,;:-'/m;-:,e

Je ni lini ulisikia KANISA linadai utaratibu wa Kibiblia uwe sehemu ya katiba ya nchi? acheni uongo ila dunia yote inajutia kuwepo kwa dini ya allah,
Kama hayana faida ni kwako.. unapayuka tu ovyo ovyo
 
Walimuudhi babu yetu mzee Jumbe, wanasiasa jifunzeni kuchukuliana kwa busara na kusameheana, mtu kuwa na mtazamo tofauti sio usaliti, sio uhaini wala sio dhambi. Kuchomana visu vya mgongo sio jambo jema....Kiongozi mzurii mzalendo akalazimishwa kujiuzulu bila sababu yoyote ya msingi....
 
Unahoja nzuri sana..
Naomba tusaidiane kumpa mwalimu mohamed said atatusaidia kwa hiri..kwani ni mtu wa karibu sana na mzee wetu
Nachelea kuongeza maswali zaidi na hoja zangu, napenda tujifunze zaidi Mwenye minakasha kama hii. Al'alama (nadhani niko sahihi) Mohamed Said na wengineo wenye kujua njooni mtupe 'darsa' tafadhali.

Kaka.
 
Back
Top Bottom