TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun

Kwenye mambo kama haya ya Mzee Jumbe, hapo huwa nakubaliana na wewe pamoja na mkuu Said Mohamed kuhusu UPUUZI wa Nyerere!

Frankly speaking sijawahi kumkubali Nyerere kabisa...alituharibia sana viongozi wengi mfano Kambona na huyu Jumbe. Edwin Mtei etc
 
Salmar asante kwa taarifa hii. RIP Alhaj Aboud Jumbe.

Pasco

Pasco...I know you know something, hebu tuwekee "chochote" hapa kuhusiana na shujaa huyu.
Especially kuhusu kile kikao cha Dodoma kilichomuengua Mzee wetu!
 
Hii safari haikwepeki umetangulia sisi tupo nyuma yako japo atujui lini Wala saa R.I.P
 
Mh pole zake mzee wetu alale pema peponi,alitaka kurekebisha mambo ya muungano huko Zenj likamuangukia rungu la mwl.nyerere kwa uchafuzi wa hali ya hewa visiwani! Lala pema kamanda
 
Ruttashobolwa, Lizaboni, Yehodaya, Barbarosa na wengine siwaoni, au hamumjui shujaa huyu wa chama chetu?

Bv
 
Ngoja nione kama Maalim Seif ataenda kuhani huu msiba,kweli nitajua wanafiki hawana haya.

Mbona maalim seif amekutana naye mara nyingi tu ??? Ile ilikuwa ni fitina a Nyerere na waliitambua kama alivyotambua Amani karume
 
Kwenye mambo kama haya ya Mzee Jumbe, hapo huwa nakubaliana na wewe pamoja na mkuu Said Mohamed kuhusu UPUUZI wa Nyerere!

Frankly speaking sijawahi kumkubali Nyerere kabisa...alituharibia sana viongozi wengi mfano Kambona na huyu Jumbe. Edwin Mtei etc

Tatizo la nyerere alikuwa mdini sana
 
Back
Top Bottom