TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Pole nyingi sana kwa familia ndugu jamaa na marafiki na taifa kwa ujumla kwa kumpoteza mmoja wa viongozi wa kuheshimika sana kutokana na wasifu wake. Ng'ambo ya kaburi kuna matumaini Yesu ajapo mara ya pili tudumu kuwa waaminifu na kuyatenda mapenzi ya Mungu
 
What wrong? Kama tatizo ni huu ugonjwa wenyewe wanauita changamoto ya kupumua hilo bunge lifungwe tu, kwanza hakuna kinacho pitiswa pale zaidi ya bajeti hewa tu. Ila kwa tamaa zao zitawaponza.
 
Ndugu,
Ahsante kwa kutupa historia ya Nguli Mahiga, ila tafadhali unaombwa kurekebisha umri wake ( mwaka huu 2020 - kazaliwa 1945=).......ina maana kufikia August angekua na miaka 75 na sio miaka 70. Amen
 
Kila nikisoma rambirambi iliyotolewa na raisi kwa chini kabisa imeandikwa ikulu chato

Hiyo ikulu ina nuksi imegeuka ikulu ya kutolea rambi rambi bora muheshimiwa urudi Dar

Ikulu ya Dar ulikuwa unaweza kukaa hata mwaka hujatoa salamu za rambi rambi sasa huko chato kila siku rambi rambi au uliyajua haya kuwa yatatokea ndio maana ukaenda kujificha huko chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hadi wapinzani wanasikitika kutoka moyoni, ujue Balozi Mahiga alikuwa mtu mwema.
Bahati mbaya sana alikuwa waziri chini ya Rais Jiwe.
 
REST IN PEACE.SIO KILA KIFO NI CORONA ,UKICHEKI UMRI NAO NI FACTOR NA PIA KWA UMRI HUO MAGONJWA NYEMELEZI NI MENGI KWA KWAKUWA KINGA IPO CHINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…