Siyo kila nchi wamejifungia mkuu hata huko ulaya sio baadhi ya nchi hawajajifungia, mfano Sweden watu wapo mitaani, hotel na migahawa ipo wazi, watu wameambiwa juhudi za kujikinga kila mtu atumie akili zake. Sweden ina vifo na wagonjwa wengi tuila sio kama Italia na USA waliojifungia!
Kwanini unajaribu kuilinganisha Sweden na US au Italy badala ya kuilinganisha na wenzake wa Scandinavia ambao ni kama brothers and sisters... zote ni nchi ambazo zinazingatia sana tena sana social liberty kuliko hizo ulizotaja!!
Si USA wala Italy iliyo kwenye Top 10 ya nchi zinazoongoza kwenye personal freedom but Sweden, Denmark na Norway zote zipo kwenye Top 10 na zinaongozana, wakati Denmark ikiwa imefungana na nchi zingine kwenye nafasi ya 5, zinazofuata ni Sweden na Norway zilizofungana kwenye nafasi ya 10... kwa maana nyingine, wakati Denmark ipo nafasi ya 5, both Sweden na Norway wapo nafasi ya 6.
Sasa wakati Sweden imeleta mambo ya social liberty kwenye kipindi kigumu, both Norway na Denmark wakaweka strict measures ili kukabiliana na situation, na leo matokeo yake:-
Ingawaje unaonekana kama unajaribu kuipongeza Sweden, kabla hujafanya hivyo unatakiwa kujiuliza yafuatayo:=
1. Wakati Sweden deaths per 1M People ni zaidi ya watu 250, Denmark ni Vifo 78 per 1M, na Norway ni vifo 39 per 1M.
2. Wakati total deaths kwa Sweden ni zaidi ya vifo 2500, total deaths kwa majirani zake wa Scandinavia ni 452 kwa Denmark na 210 kwa Norway!
4. Wakati Norway na Denmark walio kwenye critical condition ni 37 and 62 respectively, Sweden walio kwenye critical condition ni 531.
Hata bila ya kuangalia indicators zingine, hapo unaona wazi ni namna ujinga wa Sweden unavyowagharimu kulinganisha na majirani zake!
Na hata kwenye kundi ukiziongeza Finland na Iceland ambazo pamoja na hizo tatu hapo juu zinaunda Nordic Countries, bado Sweden yupo pale pale kwa sababu, Finland kwa mfano, wana vifo 211 tu, huku walio critical wakiwa 48 TU!
So, what nchi kama Tanzania ambao ni ngumu sana kufuata masharti?