TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Hata mimi nashangaa wapo pale wanafanya nini wakati jitu lao limeshupaza shingo! Hata mama huu ni muda wake mwafaka wa kubwaga manyanga ajipumzikie huku akisubiri kugombea Zanzibar, kuna zee pumbavu litawamaliza!!
 
Daaah huu mwaka unafanana na ule wa 2015 viongozi walikwenda kwa Sir God kwa kasi ya ajabu sana. R.I.P Mzee Mahiga
 
REST IN PEACE.SIO KILA KIFO NI CORONA ,UKICHEKI UMRI NAO NI FACTOR NA PIA KWA UMRI HUO MAGONJWA NYEMELEZI NI MENGI KWA KWAKUWA KINGA IPO CHINI.
watu kama ninyi tunawahitaji sana muda huu.... Subirin tu.
 
SUGU UPDATES ON CORONA VIRUS TANZANIA DEATH STATISTICS

IF 300=3
56,999,700=X

WHAT IS THE VALUE OF "X" IN ABOVE EQUATION?
 
Ni wakati sasa wa kumtoa jiwe kwa nguvu huko Chato arudi DSM awe mstari wa mbele kupambana na mdudu Corona,aache kujificha na kuwaacha wenzake mbele
 
Inawezekana mkuu, ila pia kwa watu waliokuwa wanategemea hospitali za nje ikitokea kipindi hiki ndicho cha mahudhurio ya clinic zao au wakizidiwa wanakuwa hawana option. Ingawa picha ya mazishi hupelekea kuhisi chanzo cha kifo.
Ukweli uko hivyo sisi mtaani kwetu kuna mzee kafariki alikuwa soja familia yake imeambiwa ni kovid kwahiyo serikali ndio itazika
 
Kweni wamekwambia kua ni Corona?hiv wabongo mna nini?
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
RIP Mzee Mahiga,Poleni sana familia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watanzania shtukeni magufuli anataka kutuua .Kama huna ishu kaa ndani.
Mkuu shida ni kwamba hakuna mtu ambaye hana ishu........Wasio na ishu labda ni 2% sasa unakua umefanya nini......Ndio wenye akili timamu waliamua lockdown......It is painful but can serve most lives.......
Si unaona mzee yeye kajilockdown chato???!!
 
Kwanini unajaribu kuilinganisha Sweden na US au Italy badala ya kuilinganisha na wenzake wa Scandinavia ambao ni kama brothers and sisters... zote ni nchi ambazo zinazingatia sana tena sana social liberty kuliko hizo ulizotaja!!

Si USA wala Italy iliyo kwenye Top 10 ya nchi zinazoongoza kwenye personal freedom but Sweden, Denmark na Norway zote zipo kwenye Top 10 na zinaongozana, wakati Denmark ikiwa imefungana na nchi zingine kwenye nafasi ya 5, zinazofuata ni Sweden na Norway zilizofungana kwenye nafasi ya 10... kwa maana nyingine, wakati Denmark ipo nafasi ya 5, both Sweden na Norway wapo nafasi ya 6.

Sasa wakati Sweden imeleta mambo ya social liberty kwenye kipindi kigumu, both Norway na Denmark wakaweka strict measures ili kukabiliana na situation, na leo matokeo yake:-

Ingawaje unaonekana kama unajaribu kuipongeza Sweden, kabla hujafanya hivyo unatakiwa kujiuliza yafuatayo:=

1. Wakati Sweden deaths per 1M People ni zaidi ya watu 250, Denmark ni Vifo 78 per 1M, na Norway ni vifo 39 per 1M.

2. Wakati total deaths kwa Sweden ni zaidi ya vifo 2500, total deaths kwa majirani zake wa Scandinavia ni 452 kwa Denmark na 210 kwa Norway!

4. Wakati Norway na Denmark walio kwenye critical condition ni 37 and 62 respectively, Sweden walio kwenye critical condition ni 531.

Hata bila ya kuangalia indicators zingine, hapo unaona wazi ni namna ujinga wa Sweden unavyowagharimu kulinganisha na majirani zake!

Na hata kwenye kundi ukiziongeza Finland na Iceland ambazo pamoja na hizo tatu hapo juu zinaunda Nordic Countries, bado Sweden yupo pale pale kwa sababu, Finland kwa mfano, wana vifo 211 tu, huku walio critical wakiwa 48 TU!

So, what nchi kama Tanzania ambao ni ngumu sana kufuata masharti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…