TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Mtamlaumu bure tu, Jiwe alisema mwenyewe ameshachoka haiwezi kazi ya Urais ila amelazimishwa tu, kwa hiyo inatakiwa kuridhika na matokeo. Kuonesha msisitizo kakimbilia zake Chato , msipomuelewa basi tena

Sio tu ameshachoka, bali alibeep akasokomezwa.... ila Jiwe mcheshi sana.
 
Nakumbuka hata pale mbunge kama kessy alipokua akimshambulia zitto kwa kuzuia mkopo baloz hakupga makofi kushangilia kama praise team weng wafanyavyo kweli alikua man of integrity Mwenyez Mungu ampunguzie adhabu ya kabur apumzike vema...

Its not over until its over...[emoji769]
 
hilo Tangazo liko wapi, tuwekee hapa mkuu
 
Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
 
Pumnzika kwa Amani, maombezi yetu kwa mwenyezi mungu. Tupo kuendeleza yale mazuri aliyoyataka kwa Watanzania na tutaendelea kupigania haki ya Watanzania. RIP
 
Dunstan jiheshimu.Rais wako anapowambia watu waendelee kuchapa kazi huku yeye kaji isolate unaona ni sawa.
Amekuzuia wewe kuji isolate? Unakuwa kama li ng'ombe mpaka uwe isolated. After all, unaweza kuji isolate bado ukachapa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…