TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Mtamlaumu bure tu, Jiwe alisema mwenyewe ameshachoka haiwezi kazi ya Urais ila amelazimishwa tu, kwa hiyo inatakiwa kuridhika na matokeo. Kuonesha msisitizo kakimbilia zake Chato , msipomuelewa basi tena

Sio tu ameshachoka, bali alibeep akasokomezwa.... ila Jiwe mcheshi sana.
 
Dah alikuwa mtu poa sana yan hana majivuno wala kejeli kama mawazir weng na wabunge wa ccm walivyo nakumbuka hata mh sugu alimtabiria kama kungekua na tume huru ya uchaguz ni mmoja wa wabunge wa ccm ambao wangerejea bungeni....... RIP... bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe...wote ni njia yetu.....see you again baloz Mahiga

Its not over until its over...[emoji769]
Nakumbuka hata pale mbunge kama kessy alipokua akimshambulia zitto kwa kuzuia mkopo baloz hakupga makofi kushangilia kama praise team weng wafanyavyo kweli alikua man of integrity Mwenyez Mungu ampunguzie adhabu ya kabur apumzike vema...
IMG_20200501_124017.jpeg


Its not over until its over...[emoji769]
 
Guys katika magazeti ya jana 30th april, 2020 kulikuwemo tangazo la mnada wa kuuza nyumba ya waziri mahiga mbezi beach dsm. Hii ni kutokana na deni la mkopo wa benki. Wakati tunabashiri kuhusu sababu ya kifo cha mpendwa huyu na hili tujue laweza kuchangia. Wasalam

Sent using Jamii Forums mobile app
hilo Tangazo liko wapi, tuwekee hapa mkuu
 
Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
 
Pumnzika kwa Amani, maombezi yetu kwa mwenyezi mungu. Tupo kuendeleza yale mazuri aliyoyataka kwa Watanzania na tutaendelea kupigania haki ya Watanzania. RIP
 
Dunstan jiheshimu.Rais wako anapowambia watu waendelee kuchapa kazi huku yeye kaji isolate unaona ni sawa.
Amekuzuia wewe kuji isolate? Unakuwa kama li ng'ombe mpaka uwe isolated. After all, unaweza kuji isolate bado ukachapa kazi.
 
Back
Top Bottom