residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Recruitment yao inafanyika kwa yeyote na popote.Nani alikwambia wote lazima wawe wamesoma? Haihitaji msomi akawe mama ntilie kwa kivuli cha undercover ila mtu yoyote anayefaa hutengenezwa kwa elimu yake hiyo hiyo ila mara nyingi hawa ni INFORMER.
Mkuu ni swali au umeongezea? Nataka kuuliza kitu kama una uelewa kidogo.Recruitment yao inafanyika kwa yeyote na popote.
Mkuu ni swali au umeongezea? Nataka kuuliza kitu kama una uelewa kidogo.
Asante sana.Ni nyongeza tu mkuu.
jeshi la akiba.hata mimi nimeshangaa sana! maiga kwa jinsi alivyolitumikia taifa hili si wakufanyiwa hivyo! hata kama hao mugambo ni tis, lakin hawana hadhi kabisa yanamna walivyobeba jeneza la maiga! hii nchi bas tu ukifa yote ulilofanyia taifa ni bure! najua watasingizia sababu amekufa kwakorona ndomaana amefanyiwa hivyo.
ahahahaa hahaha mwalimu wa mwandiko jf na hii corona tutanyokaa.Angalau sasa hivi kidogo Kiswahili chako Kimenyooka na umejitahidi Kuandika vyema na umeeleweka tofauti na pale mwanzo.
Usia una mengi japo siamini sana katika hilokweli alikuwa kachero mzalendo aliacha usia akifa azikwe na jeshi la akiba?
Sent using Jamii Forums mobile app
TISS hajitambulishi na wala haina alama jumuishi. Angeweza bebwa na wateule wowote wale waliopangwa kwa siku husika. Mgambo ni jeshi la akiba kama ulivyosema na hata tiss waweza kuwa jeshi la akiba.
Mkuu ni swali au umeongezea? Nataka kuuliza kitu kama una uelewa kidogo.
we vaaa chupi uende kwa bahasha wako akubokoe.Hovyoo vaa uniform uende shule,fundi gereji mbona huendi kutengeneza magari?
Ukiwa na akili ya utambuzi utafahamu bila yeye kukwambia ila utatengeneza mazingira ambayo utaona kuwa huyu si wa kawaida.Mkuu unawatambuaje
Ukiwa na akili ya utambuzi utafahamu bila yeye kukwambia ila utatengeneza mazingira ambayo utaona kuwa huyu si wa kawaida.
"Dogo kuna mahali huwa naenda kila siku jioni, ofisini hawajui naenda wapi ila kuna siku moja nitakwambia" yalikuwa maneno ya rafiki yangu mmoja ambaye tumejuana kwenye mazingira ya kazi na nilivyomfanyia uchunguzi nikajua jamaa ni mmoja wao na kweli ndivyo ilivyokuwa.
Kaa sehemu kama vile haupo utaona.
Best comment kwenye huu uziMavazi rasmi ya TISS ni yapi?
Kama hawana mavazi rasmi basi wanaweza kumzika mtu wao hata wakiwa ndani ya jezi za Atletico Madrid.
Wengi wao huwa wanauliza maswali mepesi sana ili kupata majibu yawatatizayo.Unakaaje sehemu kama vile haupo mkuu..
Si utaonekana kibaka..
Fafanua tafadhari
Wewe dada mjinga umetumia jina la mtu halisi kujisajili jf acha ujinga umetumia jina la mtoto wa elisifa ambae alikuwa tiss ikulu.kumbe alikuwa DG kitengo! atakuwa kaagiza watu kibao wafungwe na wengine watangulizwe kwa usalama wa taifa na usalama wa baba! kitu kizuri mda huu wote washakutana huko tayari!