TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

hata mimi nimeshangaa sana! maiga kwa jinsi alivyolitumikia taifa hili si wakufanyiwa hivyo! hata kama hao mugambo ni tis, lakin hawana hadhi kabisa yanamna walivyobeba jeneza la maiga! hii nchi bas tu ukifa yote ulilofanyia taifa ni bure! najua watasingizia sababu amekufa kwakorona ndomaana amefanyiwa hivyo.
jeshi la akiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu jamaa yangu alimpa kazi ya kuzibua mitaro ya maji machafu na aliifurahia sana kazi iyo. Siku nilipo mtembelea jamaa yangu nkashangaa kumkuta yule mtu pale akifanya iyo kazi, wakati uyu jamaa nilisha muona sehemu nyingi nyeti nyeti. Kumbe yule jamaa alikuwa kikazi kwelikweli.
 
Nikamuuliza ndo yeye nileye muunaga sehemu hzo akasema hapana hata mikoa iyo hajawahi kufika. Baada ya kuona nilimtambua akaomba dharura ya wiki 1 kwa bosi wake aende kwao maana matatizo yametokea. Kumbe ilikuwa gia ya kutokea. Mpaka leo hajarudi na wala laini zake zote hazijawahi kupatikana tena.
 
Mkuu unawatambuaje
Ukiwa na akili ya utambuzi utafahamu bila yeye kukwambia ila utatengeneza mazingira ambayo utaona kuwa huyu si wa kawaida.

"Dogo kuna mahali huwa naenda kila siku jioni, ofisini hawajui naenda wapi ila kuna siku moja nitakwambia" yalikuwa maneno ya rafiki yangu mmoja ambaye tumejuana kwenye mazingira ya kazi na nilivyomfanyia uchunguzi nikajua jamaa ni mmoja wao na kweli ndivyo ilivyokuwa.

Kaa sehemu kama vile haupo utaona.
 
Unakaaje sehemu kama vile haupo mkuu..
Si utaonekana kibaka..
Fafanua tafadhari
 
sifi leo,
Sio TISS Tu , Kijeshi alikuwa na cheo cha KANALI ....hivyo anatakiwa kubebwa na Maafisa wenye cheo cha Captain au Luteni ...., ila kama wameamua kumuaga kama Tiss nadhani utaratibu wao ni undercover.

kama mliangalia mazishi ya Cornel Apson ambaye naye Kijeshi alikuwa na rank ..ya Kanali ...hapakuwa na millitary decorations zozote.

TISS kwenye mafunzo kuna parade lakini katika maisha ya nje huwa hawaonyeshi protocal za Kijeshi wakiwa uraiani.

Kama kuna mgambo basi amezikwa kama Waziri .
 
Back
Top Bottom