DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Je Covid 19 itapelekea anguko la ufalme wa ccm nchini ?
kush and Wisdom
kush and Wisdom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaombee!...ila tusiogope sana !Tuko kwenye same boat,namhofia mama yangu japo hana ugonjwa wa kidumu. Hii corona imeleta ugonjwa depression Na bp kwa watu wengi sana[emoji29][emoji29].
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mie nna pumu baba ana pumu na sukari .naogopa hata kupanda bus noende leo najihis chizi fresh kbs..! Eh Mungu nilindie jembe langu!ila mie sijihofii kbs...namhofia dingilai uwiii😇😇😇
Hali ni mbaya sanaMwenyewe nikimpeleka clinic MNH wacha niwapange mabest fasta nikatimua, Wakaniuliza vipi mbona upo hivyo nikasema inamaana huoni sina nguvu za kusilizikia taarifa mbaya za huyu mshua.
Jichunge na uweke taadhari kwenu woote wawili.
Unaona maraisi wangapi wapo wapo tu kama wa kwenu.
Ndugu yangu (Kiamaiko) hali ni tete. Tuzidi kuwa makini.
Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Ndugu yangu (Kiamaiko) hali ni tete. Tuzidi kuwa makini.
Nimenunua gari la muda, lile lingine ni bovu.