TANZIA: Bi. Asha B. Makame afariki dunia

Allah amuweke maala anapostahili kutokana na matendo yake
ndugu upo sahihi sana.wengi wanaandika rip utafikili MUNGU ni mjomba wao.ukweli ni kwamba kama mtu akifa matendo yake yanamfuata na mzigo wa matendo yake ataubeba mwenyewe.hakuna cha alale kwa amani wala pema peponi.
 
Hivi Mheshimiwa kama Samwel Sitta anajisikiaje anapokumbuka kwamba ndiye aliendesha kama Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba. Bunge lililojaa ubaguzi wa kila aina, matusi ya aibu hadi ajisikia vibaya hii clip ya Bi Asha Makame, nimejisikia vibaya sana!
 
Alisema labda waipindue vinginevyo hawatoi nchi kwa makaratasi !sasa kapinduka yeye! Mungu mkubwa makaafir watangulie wasituharibie nchi.
 
Ningekuwa kwenye msiba hata kumswalia nisingependekeza.Tangulia gamba,umetukera na kutukashifu sana.
 
Hata john komba alisema ukawa ikichukua chi anaenda msituni ,badala yake akaenda kaburini
 
R.I.P! Huyu mama alimsumbua sana JUSA kile kipindi cha bunge la katiba!
 

Halafu umeona jamaa walikuwa wanamshangilia kabisa. Yaani kama Bungeni la kawaida nako kunakuwaga vile, matusi nje nje, Hatuna wawakilishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…