TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

ila mimi kuna wakati najiuliza sana kikawaida tunawanyooshea vidole hawa kina mashmash,lakini tushajiuliza chanzo nini?
 
Muimba taarabu Bilal Mashauzi ameaga dunia jioni hii. Msiniulize chanzo hata mimi sijui.Pumziko jema Bilal.

Moja ya kazi za Marehemu Bilal enzi za uhai wake

MAANDIKO YANASEMA MTI USIOZAA MATUNDA UTAKATWA TUU..! SASA JITU LENYEWE KAZI KUKATA MAUNO KWENYE KITCHEN PART WHY MUNGU ASIPURUNI ILI MIMEA MINGINE IMEE NA KUCHANUA VYEMA..
 
Jamani kifo hiki, juzi tu nilikua nachat nae jamani alikuwa anataka kuja South Africa. Uwii Warumi sina nguvu nimeishiwa.
]

Rest In Peace best wangu!

Binamu fanya kuweka namba tukuchangie rambirambi

Kumbe uko South, maana sio kwa kimya hiko ukirudi nijie na zawadi japo sneakers lol.
 
Hawa wataondoka mdogo mdogo kama watavyoondoka wauza unga!
Hawatakiwi awamu hii hawa....
Jiulize wanavyo pukutika....
 
Back
Top Bottom