Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ila ni muislam ,msiba wake hauna gharama.alishaachana na George? Alikuwa anampost sana bae wake yuleYule tena kaanza kudanga miaka ya themanini , vigogo wote anawajua sema binamu si unajua binamu mtamu ukiwa hai ukifa watu hawana habar wanaishia kukupost insta , mi ndo maana ushoga wa kipuuzi sinaga