Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Huyu anatetea ujinga anatakiwa kuchomwa motoHakuna haja ya kugombana ndugu yangu
Kama unatetea ushoga mimi skuungi mkono.
Na niliyo ya sema mimi ni sayansi sijatunga, Elton John si sawa na Bilal Mashauzi,
Elton yule ni exception kwa sababu ana uwezo wa kujicare
Ahaa sawa binam mwambie hance asinichambeSio yako na wewe , nilikua namchamba mtu Kidogo
Alikuwa anatumia ID ya mtangazaji wa redio jina limenitoka kidogo sijui ni Dida vileHivi ulibadili Id ama... maana huu mwandiko wako naujuaaaa
Hahahaahhaahahhaha nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa warumii yaan ni balaa tupu umbea mwingiYule Yule nani wengine hatujui ebu tutambulishe , yani kuna watu hata tutumie ID fake lazima tubambwe tu , aaaah
Zote zangu za Hoe wala usitie shaka ni yule yulee
Tatizo unaingilia yasiyokuhusu,jali ya kwako kwanzaHance mbona unapaniki naomba usinichambe mimi ni rafiki yako kabisaa
Halaf sikujua kumbe we celebrity nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa
Yaan miss hapa unanifanya nataka kujisaidia kabisaaa hakuna hata heka heka siku hizi warumi anaishi SA hajui habari za bongo,ingekuwa zamani angevaa zake dera angeenda kulala msibani toka janaMazishi yameendaje Mkuu? Yalikuwa na shekhe? Au kama Yale ya kaoge yaliosusiwa hadi na wazee wa jumuiya wala msalaba wakati alikuwa mkristo alikuwa kabatizwa tena sabato
Mkuu nikikutana nao kila baada ya sekunde nnazidi kujawa na hasira huw naondoka maan nnahic kuua mtuHivi huko dar hawa watu mnaishije nao ? Wana stori gani sasa au nao wanaongea kuhusu kut***w* ? ,dah mtu kama huyu mimi sikai nae hata karibu ,,kama mungu katukataza kukaa karibu na dem mwenye period itakua hawa
Hahaaaa usinikaushe uzazi in warumi voice hahaaa
Lile swala la kuji quote ndio limenikumbusha mbali, Binamu huwa halisahau hilo
Yaaan alinichekagaaa alichekaaaa hakutosha akanifata pm anachekaaaa aliniudhii wakati hata yeye alikuwaga anajiqoute anajichamba mwenyeweHahaaaa usinikaushe uzazi in warumi voice hahaaa
Lile swala la kuji quote ndio limenikumbusha mbali, Binamu huwa halisahau hilo
Hance napenda umbeyaa bana niacheeTatizo unaingilia yasiyokuhusu,jali ya kwako kwanza
Geahabibu naamu mwenyewe hapaAlikuwa anatumia ID ya mtangazaji wa redio jina limenitoka kidogo sijui ni Dida vile
Hahaaaa usinikaushe uzazi in warumi voice hahaaa
Lile swala la kuji quote ndio limenikumbusha mbali, Binamu huwa halisahau hilo
shiiiiiii warumi upo ??Jamani kifo hiki, juzi tu nilikua nachat nae jamani alikuwa anataka kuja South Africa. Uwii Warumi sina nguvu nimeishiwa.
View attachment 770348
Rest In Peace best wangu!
Hoe nae karudii binam unarudisha watu ngoja nimuite Binti Magufuli akujeNilitaka kusema binamu yuko wapi mbona sijamuona humu , I miss you binamu , tumerudi kuchangamsha jukwaa kidogo
hahaaaa ...daahhh pole sana "" huyu mtoto wakinondoni kafa...?? daaahhAhsante binamu , nichangien jaman nimeumia kweli warumi Mimi
hao huwa ni marafiki zake AdijA kopa...Mara nyingi huwa anatembea nao kibao ..wanaa muita mama ""Mi urafiki wa karibu na mashoga hapana. Sio mwanangu anakua anakutana na marafiki wa mama hawaeleweki jinsia
duuuhh ""Nawaza kale ka James sijui kama katagonga kote maana anatembeza tako hatari