TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

Bilali ndiye aliyekuwa anamuunganisha wema, na wanaume Wenye pesa, unapita kwa bilali dau linaanzia Milioni tant, unamlipa wema anaitwa anapewa nne
Kazi kweli kweli huyo Wema huo.uchangu umempa nini Mpaka Leo?
 
Shoga mzee yupo block 41 anapika mahanjumati.na anajua kupika .alivyozaa hamisa shoga ndie aliyepika kwenye shuhuli yake .yupo mwengine anaitwa abdalla mapilau mzee ila sijui kama bado yupo hai.alikuwa anakaa sio mbali na Best bite .

unajua maeneo yao kweli kweli
 
Nasikia Mashmash,Mashauzi,Mashallah watu walijaaaa wadada wa mjini wooote alokuwa skiwatafutia madanga walitikisa Mwananyamala Kisiwani ila wababa walijishtukia hawakumtendea vyema walimuhukumu mnaambiwa msihukumu msijekuhukumiwa mngemsitiri tu mwanaume mwenzenu ya kwake mngemuacha yy na Mungu wake.
 
Hivi aliswaliwa kweli?
 
Huyu ameshazikwa?nenda chitchat kuna uzi wa ladyfurahia happiebasidei chachu ombara kunamtu anakuita anakosea kukutag
Na ngumi jee??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu anitag matola akimjibu warumi hapo i love you,nimeenda
 
Back
Top Bottom