whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Kusukumiza mihogo ya kila size kwenye njia ya kutolea uchafu mwilini ni kuharibu kabisa utaratibu wa mwili uliowekwa kwa umakini mkubwa na Muumba wetu .
Ni sawa na kuweka pande la mti kwenye bomba la kutolea moshi kwenye bodaboda au gari matokeo ni kuua chombo.
Matumizi mabaya ya bomba la kutolea uchafu husababisha kifo .
We Marehemu nenda tu huko huko na sisi tutakuja ila bora utangulie tu kwa kweli.
“Kullu nafsin zaiqatul maut” - I KNOW