TANZIA: Dalila wa tamthilia ya Jumba la Dhahabu amefariki dunia

TANZIA: Dalila wa tamthilia ya Jumba la Dhahabu amefariki dunia

Hizi RIP mtatoa mpaka lini? Wasanii jipangeni, kuna mtu ana list na anaipunguza moja ya baada ya mwingine. Nyinyi ndo watumiaji wakubwa wa Social media, na Jiwe alisema anatmani tuwe kama China au malaika washuke waifunge...sasa kaona aanze kufunga roho zenu. Mie narudi mkoani Dar yenu nawaachia ohooo...all in all, RIP
 
Apumzike kwa amani, Mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu kwa yale aliyokosea kama binadamu.
 
Njia ya wote hiyo,yeye katangulia sisi tutafuata.
Apumzike kwa amani[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom