TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde

Ha ha ha ha mkuu hii kali, ingependeza sana Kibonde angeimba haka kanyimbo kake siku ya mazishi ya mkewe tena akiwa ameshika beer mkononi.

Watu huwa wanafanya "jokes" lakini siku yakiwafika wanalia kama watoto wadogo, Kibonde alikuwa analia utadhania siyo yeye yule akiwa kwenye kipindi chake cha Jahazi na kuimba haka kanyimbo kake akiwa na akina Gadner.
 
Mbele yake nyuma yetu,Mwenyezi Mungu amfanyiye wepesi huko aendako.Poleni sana wanafamilia kwa msiba huu.
 
Pole nyingi sana kwa familia ya Kibonde kwa kumpoteza mama wa familia. Hakika kifo hakizoeleki!
 
Hakuna gonjwa jipya duniani na ukweli ni kuwa hakuna uginjwa unaopiga hodi ukikuvania
 
Kuna wapumbavu wanadhani kuna njia ambazo ukifa unapigiwa makofi.
 
Habari ukiisoma humu na unajua wahusika na ikawa kama hii ya mmoja kufariki inauma sana

R.I.E.P Mrs. K
 
nsalu,
Hakuna binadamu aliye kamili. Hakuna asiyetenda dhambi duniani.......
Sioni kama ni sawa kumsema mfiwa kipindi hiki kigumu kwake na isitoshe wafiwa wanauchungu na watapita huku na wakisoma haya wataumia zaidi.
Watanzania tuwe na maadali pia tuspende kuhukumu wenzetu na kujiona sisi watakatifu
Pole Kibonde, watoto wako, ndugu jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu.
Roho ya marehemu Sarah ipumzike kwa amani ... amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…