Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka kwa KISHINDOSi ndio kazi ya mke......
ama nyie mmeoa wasela wenzenu!!!
Dah Siamini they are both gone within a very short time range.
Msiba ni msiba kinachofanya uitwe mkubwa ni kujulikana kwa wengi mfano kiongozi wa kitaifa anapoondokaNa mdogo unakuwaje?
Ni kweli mkuu, upo ushahidi wa wanaume kadhaa, wengine wenye ushawishi katika jamii na wengine wananchi wa kawaida, ambao baada ya kufiwa na wake zao, nao hawakuchukua raundi.
Ni kweli mkuu, upo ushahidi wa wanaume kadhaa, wengine wenye ushawishi katika jamii na wengine wananchi wa kawaida, ambao baada ya kufiwa na wake zao, nao hawakuchukua raundi.
Wataishi tu Mwenyezi Mungu ndio mpanga Mipango .Da watoto jamani
WhyAs expected
mkuu, wewe !Kweli Mkuu, kuondokewa na mpendwa wako ni mtihani mkubwa sana, hasa mke ndiyo maana tumeshuhudia wengine wakiwafuata wake zao siku chache baada ya kuondoka duniani.
ni kweli mkuu, yametimiaNi kweli mkuu, upo ushahidi wa wanaume kadhaa, wengine wenye ushawishi katika jamii na wengine wananchi wa kawaida, ambao baada ya kufiwa na wake zao, nao hawakuchukua raundi.