TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde

Pole sana Ephraim pamoja na familia yako,ndugu na jamaa wote walioguswa na msiba huu. Tumshukuru Mungu katika kila jambo. Heri wafao katika Kristu maana...
RIP Sarah.
Wanaokufa katika mohammad hapo vipi?
 
Huyu mama alikuwa anambeba sana ndugu yetu ....kweli kapata pigo ..., itabidi abadili life style ili aweze kuwa karibu zaidi na watoto
Ukiwa bahati ukiwa na mke anayejali familia ...anasaidia sana kufunika madhaifu mengine upande wa baba ila sasa ikitokea hivi ...ndio sasa unaona pengo
 
Alikuwa anambeba kivipi..kuwalea watoto tu?
 
Umeandika maneno yote lakini haujaweka kwa maneno mekundu ili watu tuelewe vizuri kama ni gitaa au hakuna gitaa
 
Mke wa mtangazaji wa Clouds Media, Ephraim Kibonde, Sarah hatimaye amezikwa kwenye Makaburi ya Kinondoni. Kibonde analia sana mpaka anatia huruma, watoto pia wanalia sana, hakika kifo ni mtihani mkubwa sana katika maisha ya binadamu.

Sarah Kibonde alifariki Julai 11, 2018 katika Hospital ya Hindu Mandal alipokuwa akipatiwa matibabu.
 
Si ndio kazi ya mke......
ama nyie mmeoa wasela wenzenu!!!
 
[emoji444] [emoji484] [emoji485]
tunapendaa beer..[emoji332]
sisi sote tunapendaa beer...[emoji442]
Rafiki zako tunapendaaa beer..[emoji443]
Hata ukifa tutakunywaaa beer..[emoji445]
na Mimi Mume wako nitakunywaa beer..!![emoji446]
Rafiki zako wote watakunywaa beer..[emoji447]
Hata watoto wakoo watakunywaa beer..[emoji448]
na wabaya wako watakunywaa beer..[emoji449] [emoji350]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…