TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde

Useless minds kutaka kujua kilichomuua iwe mnachofikiria ndicho au isiwe hicho ukweli utabaki kuwa ukweli yeye ni binadamu na ameonja mauti kama vile na wewe siku yako itakapofika utayaonja. Au nyie mkifa kwa kwa sababu nyingine nje ya mnachodhani kimemuua yeye mtasifiwa sana, mtapewa zawadi na pia mtazikwa mawinguni?
She's a mother,sister, wife, grand mother or auntie to somebody, and they love her.
Be careful
 
Mkuu kwa heshima na taadhima. Ukifaham sabab ya kifo chake wewe itakusaidia nini? Mi nadhan kuwa tukio lenyewe ni kuwa kafariki. Kufa ni kule kule tu ndugu yangu. Unaweza usife kwa ugonjwa ukafa kwa ajali au kitu kingine kabisa. Ila yooooote hayo ni kifo. Mwisho wake ni kifo. Hayo mengine mngeachana nayo ndugu zangu watanzania.

kinyama nje,
 
Kweli Gudume, sote tu wapitaji, haijalishi utaondoka kwa staili gani lakini utaondoka tu.
 
Una maana gani kuandika hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…