Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anamtaja sana 'wife' kwenye kipindi chakeDah na walivyokua wanapendana
Mtangazaji maarufu Ephraim Kibonde amefiwa na mkewe usiku huu katika hospitali ya Hindu Mandal. Bwana ametoa Bwana ametwaa. Amen.
======
Mke wa Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde amefariki.
View attachment 806825
Kwa mujibu wa Mtangazaji mwenzie Gadner G. Habash amesema Mke wa Kibonde aitwae Sara Kibonde amefariki usiku huu akiwa anapatiwa matibabu ktk hospitali ya Hindu Mandal. R.I.P
Mkuu kama kuna uwezekano wa kuja kutoka huko mbali hudhuria huu msibaEeh ,bro Kibs wakiwa na mkewe pale London pub au escape one,utadhani ndio wanaanza uchumba ,binafsi bro Kibs alikua MC ktk harusi yangu,na mkewe Sarah alinitengenezea Keki na vyote walifanya kishikaji tu km rafiki yao ,nasikitika niko mbali ila msiba umeniuma sana huu