Kwani hakuwezi kuwa na director kichwa zaid ya mmoja? ?
Hauzinguliwi mzee, Tyson alikuwa mkali, sema alifanya chache sana na ni kipindi cha nyuma kidogo, baadae akazamia kwenye udirector wa vipindi.
wakati kuambiana ndo alikuwa anachipukia, na katika hizo zote alozofanya kafanya vizuri.
Poleni wafiwa wote... mboni,monalisa,sonia n.k r.i.p GT
Ay umefanya vema kwa director wako.