Aaaah aisee ishakua noma sana i worry to be a star couse if they die like a chiken how can be to me when i will be? R.I.P mbaba wa monalisa aka baba sonia.
Alikua director wa Ay
R.i.p G Tyson
Pole kwa wafiwa,
Mboni alikuwa nani kwa Marehemu?
I like your English , It is stupendous
Graciaslikewise
tumetoka kwa mganga jioni hii tumepigiwa ramli kuna kibabu kinawaroga, nitawaletea habari kamili hivi punde.
Gracias
all in all mkuu yeye ndio mkuu wa vyote na mwamuzi wa yote lolote aweza fanya na kuamua lolote aweza zuia au ruhusuWewe acha kumsingizia Mungu kila kitu kibaya Mungu ajali nyingine shetani ndie anayehusika iliyobaki ni kuzivunja zile roho za mauti Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema na hapendi tufe vifo vya aina hii tuwe tayari kwa vile hatuijui siku wala saa atakapokuja mwana wa Adamu kuja kunyakuwa kilichokuwa chake tukeshe na kusali .