TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

Kama Ni Kweli Poleni Sana Wafiwa na Wadau Wote Wa Tasnia Ya Filamu Nchini Tanzania. Ni Upepo Mbaya tu Unapita Na Cha Msingi Tukazane ktk Maombi na Mwenyezi Mungu Atatuepushia Dhahama Hii. Kiukweli Inasikitisha na Mtu Unaweza Hata Ukamkufuru Mungu Kwa Maswahibu Haya Ya Misiba Isiyoisha Kwa Hawa Wana Bongo Movie Na Wadau Wake.
 
R.I.P brother.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Kama Ni Kweli Poleni Sana Wafiwa na Wadau Wote Wa Tasnia Ya Filamu Nchini Tanzania. Ni Upepo Mbaya tu Unapita Na Cha Msingi Tukazane ktk Maombi na Mwenyezi Mungu Atatuepushia Dhahama Hii. Kiukweli Inasikitisha na Mtu Unaweza Hata Ukamkufuru Mungu Kwa Maswahibu Haya Ya Misiba Isiyoisha Kwa Hawa Wana Bongo Movie Na Wadau Wake.

Ni kweli mkubwa maana taarifa ya ajali ililetwa humu saa mbili na nusu usiku jana na taarifa za kifo cha tyson imeletwa saa saba na nusu usiku.
 
R.i.p Tyson basi wale waliokuwa wanasema mbonishow ni yakifreemason kwa lile jicho sasa wamepata cha kuandika magazetini kesho. Sad
 
Ni wakati wa kujiweka sawa maana hatujui siku wala saa ya kuondoka hapa duniani.

Pumzika kwa aman,mahal ulipojichagulia Tyson.
 
R.I.P George Tyson, what a great director we lost. Amekuwa ni director mzuri kwa kipindi chote cha uhai wake cz ukiachana na filamu pia amekuwa akidirect vpnd vng vya television na hv karibuni alikuwa Director wa The one show na Boys Boys vpnd vya TV1.
 
sote tu mavumbi na mavumbini tutarejea siku moja hivo tujiweke tayari Wanadamu ....Apumzike kwa Amani Amina
 
Daah kwa hiyo mwili tutauagia Leaders Club au? haya sasa majanga mtu unaweza ukasita kuingia kwenye hii tasnia. R.I.P GT
 
maskin bongo muvi!!! lets see who is next
 
Ndani ya Wiki mbili vimetokea vifo 3 vya hawa wasanii wa Filamu kulikoni? Kuambiana, Recho na sasa Gaorge Tyson

Yametimia tu na siku zao zimekwisha kama Binadamu Mwingine yeyote , Kama Mimi na wewe Tunaotype hapa sasa hivi sasa kwa kuwa wanafanya kazi zinarandana usijiulize Maswali Ukamkufuru Mungu Bureee Mbona kila siku Tunamisiba ? Wapumzike kwa Amani Vijana wenzetu sisi Tunawafuatia maana sisi sote ni Marehemu Watarajiwa Majeneza Manzese Pale yanatusubiri tulio hai muda huu ...
 
Kumbee,hata mboni show anadirect yeye kama sijakosea,aisee namkubali huyu mbaba sana

Back
Top Bottom