jamani hii bongo movie kuna nini tena tangu kanumba mpaka saivi imekua ni balaa R.I.P Tyson
Hiyo moja haitoshi?RIP
Mwenye picha za marehemu aweke
Kama Ni Kweli Poleni Sana Wafiwa na Wadau Wote Wa Tasnia Ya Filamu Nchini Tanzania. Ni Upepo Mbaya tu Unapita Na Cha Msingi Tukazane ktk Maombi na Mwenyezi Mungu Atatuepushia Dhahama Hii. Kiukweli Inasikitisha na Mtu Unaweza Hata Ukamkufuru Mungu Kwa Maswahibu Haya Ya Misiba Isiyoisha Kwa Hawa Wana Bongo Movie Na Wadau Wake.
Umeona eeh miaka miwili mfululizo dizaini kama Kanumba kafungulia njia hivi
Daaah wangekuwa wote bado sasa monatungemuita mjane
R.I.P George Tyson, what a great director we lost. Amekuwa ni director mzuri kwa kipindi chote cha uhai wake cz ukiachana na filamu pia amekuwa akidirect vpnd vng vya television na hv karibuni alikuwa Director wa The one show na Boys Boys vpnd vya TV1.