TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

kifo ni jambo litakalomkuta kila mtu hapa duniani. Na kufa kwa msanii ni kama wanavyokufa watu wengine hivyo usione ajabu.
 
picha yenyewe iko wapi?
 
Pasco weekend ilikuwa ndefu nini? Kuna uzi tangu saa saba usiku wa kifo cha G.tyson.
 
Last edited by a moderator:
Muongozaji wa Bongo Movies na vipindi mbalimbali vya television hapa nchini,George Tyson, (Baba Sonia), amefariki dunia,kwa ajali mbaya wakati akitokea Dodoma, maeneo ya Gairo, akiwa pamoja na timu ya The Mboni Show, ambao pia wamejeruhiwa vibaya sana.

Kwa sasa mwili wa Marehemu na majeruhi, wamepelekwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro.

Pia kumbuka George Tysona aliwahi kuwa mme wa msanii Monalisa, na wakabahatika kuzaa mtoto mmoja anayeitwa Sonia.

R.I.P George Tyson, Get well Mboni Masimba crew, pole sana Monalisa.
 
pichani ni marehemu George Tyson na crew yake ya mboni show mapema jana wakati wa utoaji wa madawati huko dodoma
 

Attachments

  • 1401518084640.jpg
    66.6 KB · Views: 615
  • 1401518104120.jpg
    48.1 KB · Views: 590
  • 1401518122426.jpg
    61.7 KB · Views: 575
  • 1401518144354.jpg
    50.4 KB · Views: 561
  • 1401518169856.jpg
    30.7 KB · Views: 555
  • 1401518186410.jpg
    34.2 KB · Views: 540
  • 1401518200465.jpg
    35.1 KB · Views: 539
5. Natabiri: - Vifo vya Vijana
vikiongozana na mauaji ya
kupanga vitakuwa jambo la
kawaida kwenye Mwaka huu na
wahusika zaidi ni Wasanii wa
fani zote wakiwemo Waandishi
wa Habari .

1.kuambiana,
2.r.haule
3.g .tyson

stupid...
 
Kuambiana kafa kwa ajali?Rachel je?Siku ikifika hata ukiwa unatembea kwa miguu,utakufa tu.Kila nafsi itaonja umauti.
Haya magari mnanunua hovyohovyo Japan na kujiendeshea kama pro....mjue yanachinja. Muwe mnaenda proper driving school na myaheshimu magari....yanaua...sawa vijana??..


Out.
 
Huwezi kumjua kama haukuwa unafatilia wasanii toka miaka ya 2000.Anaitwa George Otieno Tyson producer wa vipindi mbalimbali kwenye TV[ na films QUOTE=kibheri;9682807]Ndo nani huyu?[/QUOTE]
 
Ni ngumu kuamini jamani!!! Inaumiza sana. Eee Mungu uturehemu. Rip George.
 

UNAKUMBUKA HUU UTABIRIIIIIIIIIIIIII

http://www.gumzolajiji.com/2014/01/mtoto-wa-sheikh-yahya-hussein-atabiri.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…