TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

Hatimaye mwili wa aliywkuwa muongozaji filamu hapa nchini raia wa kenya George Tyson aliefariki majuma kazaa yaliopita hapa nchini na kusafirishwa kwao kwa mazishi.Hatimaye unazikwa saa hizi huko kijijini kwao.

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 1402742652976.jpg
    1402742652976.jpg
    32.1 KB · Views: 1,881
  • 1402742673439.jpg
    1402742673439.jpg
    40.6 KB · Views: 1,859
  • 1402742691482.jpg
    1402742691482.jpg
    43.8 KB · Views: 1,854
Hii haijakaa sawa siku zote walikua wanasubiri nini?pumzika kwa amani Tyson.
 
Kama kwao ni kisumu obvious ni mjaluo so kwa wajaluo kuchelewa kuzika ni kawaida, wanacheza muziki weeee wanasahau hata kama wamefiwa
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Kama kwao ni kisumu obvious ni mjaluo so kwa wajaluo kuchelewa kuzika ni kawaida, wanacheza muziki weeee wanasahau hata kama wamefiwa

Yup ni mjaluo pia hizi mila hata wanigeria wanazo wanaweza kukaa na maiti hata mwezi mmoja au miwili wasizike ref to msiba wa Goldie na Chinua Achebe... hadi raia walishawasahau kudhani wamezikwa
 
Duuu hii mupya kwa watz hawakawii kukuachia uzike mwenyewe
 
Mbona watu wachache?na kuna mtu ana kambuzi hapo mambo ya mila au katachomwa baada ya mazishi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Yup ni mjaluo pia hizi mila hata wanigeria wanazo wanaweza kukaa na maiti hata mwezi mmoja au miwili wasizike ref to msiba wa Goldie na Chinua Achebe... hadi raia walishawasahau kudhani wamezikwa

Na yule mtangazaji wa BBC
 
Teh mtihani wa la saba June???? Kwani ye si mke halali si alitakiwa aweke udongo... btw hivi alifika hadi Kisumu au aliishia Naii...?

nini nairobi?? Had kwenye msiba walikuwepo yeye, mama yake na mtoto wake, nasikia walikuwa hawalali msiban, walikuwa wanalala hotelin ila hasubuh wanashinda msiban
 
Walikuwa hawalali msibani kisa nini
 
Back
Top Bottom