TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Upepo wa kisuli suli umepita naye mama mchungaji.

R.I.P

Sent using iphone pro max
 
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

Kuna mahala mtu unahisi maisha hayana maana yoyote!!!
 
Duh..RIP mama Mchungaji
....
All in all to me she will remain industrialists and business tycoon..
May her soul rest in Eternal Peace..
Rest easy madam!
 
Acha wachapane Hakuna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania Assemblies of God sio kanisa la kata, ni kanisa kubwa sio tu Tanzania bali ulimwengu mzima, kanisa hili lina misingi kamili na imara lakini huyu mtumishi alichepuka na kulifanya lake kuwa ministry baada ya kujijenga. Huwenda likarudishwa kwa kanisa mama
Ubovu wa haya makanisa ya kata akishaondoka kiongozi mkubwa Kama huyu ndio inakuwa mwisho wa kanisa!!

RIP MAMA!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani ni mapito. Kila inapowezekana, jitahidi utende wema, utende haki maana katika kuzaliwa na katika kufa hakuna anayemzidi mwingine. Sisi sote tupo sawa.

Poleni sana wafiwa. Mungu mwenye huruma awapeni nguvu kuyapokea mapenzi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…