Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwai kujiuliza lengo la kuishi duniani ni nini hasa, mpaka leo sijapata jibuMaisha bana. Unaangaika kutafuta mali maisha yako yote baadae unakufa unaziacha.
Kusudi la kuishi ni nini?
Sanaa 😭😭R.I.P. mom daahi inaumiza
Mtoto wake!Sijui kanisa litaongozwa na nani!
Zinasaidia kujua maisha ni mzunguko leo kwa yule kesho kwako
Acha wachapane Hakuna shidaKasheshe itakuja kama hakuacha urithi vizuri kwani tunasikia mengi huku pengine mliopo huko Dsm mtakuwa na mapya zaidi lakini chini ya kapeti wanasema kati ya watoto wake wanne mmoja anaitwa Ruta kachangia kumletea huyo mama pressure nyingi kutokana na utukutu wake wa kuuza vitu kumwibia pesa kumfanyia fujo mara kwa mara na wanasema yeye ndiyo anajua mali nyingi zilipo kuliko watoto wengine watatu ambao ni waungwana, yapo mengi huko yanasemwa mliopo huko msiache kutujuza angalau itasaidia kujifunza kitu hapo
SawasawaZinasaidia kujua maisha ni mzunguko leo kwa yule kesho kwako
Sometimes wanajiunga huko na kufanya hayo ili biashara zao na huduma zao ziende.Apumzike kwa amani, binafsi nilipunguza heshima kwake baada kujiunga na siasa za kusifu na kuabudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zito atakuwa alifunga akaomba kwa mizimu ya kigoma Burundi na CongoNa yeye atubu Mungu huwez kutishia kumwaga damu ya mtu ukabaki salama ni suala la muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubovu wa haya makanisa ya kata akishaondoka kiongozi mkubwa Kama huyu ndio inakuwa mwisho wa kanisa!!
RIP MAMA!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za masiku vipi hujaenda kumjulia hali nyaulingo tupe mrejesho keshapona? au na yeye walizika kimya kimya?Sometimes wanajiunga huko na kufanya hayo ili biashara zao na huduma zao ziende.
Bwana ametoa na Bwana ametoa, Pumzika kwa Amani mama lwakatare..maskini wakati akisapoti zitto auwawe hakujua duniani ni mapito hakuna ajuaye mwisho wake.