Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Mimi huwa Sina chembe ya unafiki hata Mara 1 , mtu anaeombea mwenzake kufa yeye alifa huwa naona sawa maana amewahiwa kabla ya kuleta madharaZito atakuwa alifunga akaomba kwa mizimu ya kigoma Burundi na Congo
Kama ni Corona case na alikua Bungeni Basi nashauri Bunge lifungwe faster, wafungiwe humo humo ndani, au aliacha ubunge??
endelea kujiuliza utapata jibu one day ila pia kwenye kitabu kimoja kitakatifu wameandika exactly hivyo ulivyojiuliza! Life ni kama usingizi tu!Niliwai kujiuliza lengo la kuishi duniani ni nini hasa, mpaka leo sijapata jibu
Kwenye kusoma kwako biblia ujawai kusoma popote haya maandiko " chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu"Ufunuo 14 : 13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kusoma kwako biblia ujawai kusoma popote haya maandiko " chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu"
Send by APOLO 1
Mkuu ngoja tuone atakavyozikwa. Ya nini kuandikia mate.Nakupa tahadhari wewe. Yule ameshatangulia na Mungu amlaze mahali pema peponi. Ukiwa na uhakika kuwa kafariki wa COVID basi utajilinda. Kujipa faraja hewa hakutakusaidia zaidi ya kukumaliza.
Tanzania Assemblies of God sio kanisa la kata, ni kanisa kubwa sio tu Tanzania bali ulimwengu mzima, kanisa hili lina misingi kamili na imara lakini huyu mtumishi alichepuka na kulifanya lake kuwa ministry baada ya kujijenga. Huwenda likarudishwa kwa kanisa mama
Sent using Jamii Forums mobile app