TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Mtafuteni Le mutuz huko DSM awape anadai anazo taarifa zote kampigia ndugu yake simu huku muda huu kamwambia mengi sana ikiwemo migogoro ya viwanja kesi majirani wa kanisani kwake mtoto wake muta kumsumbua kwa kipindi kirefu, kwa kifupi huyo maana alikuwa na pressure nyingi sana
 
Bingeni wabunge 6 wana corona sasa sikujua huyu ni mojawapo
Kama ni Corona case na alikua Bungeni Basi nashauri Bunge lifungwe faster, wafungiwe humo humo ndani, au aliacha ubunge??

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
So sad. Pumzika kwa amani mama Mwenyezi Mungu akupe pumziko la amani.Dunia ni ya Mungu na sote tulio waja wake kwake tutarejea. Poleni sana ndugu, jamaa, marafiki na pia familia ya kanisa kwa ujumla.
 
Niliwai kujiuliza lengo la kuishi duniani ni nini hasa, mpaka leo sijapata jibu
endelea kujiuliza utapata jibu one day ila pia kwenye kitabu kimoja kitakatifu wameandika exactly hivyo ulivyojiuliza! Life ni kama usingizi tu!
 
Ufunuo 14 : 13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kusoma kwako biblia ujawai kusoma popote haya maandiko " chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu"

Send by APOLO 1
 
Who are you to judge ?
Kwenye kusoma kwako biblia ujawai kusoma popote haya maandiko " chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu"

Send by APOLO 1

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Nakupa tahadhari wewe. Yule ameshatangulia na Mungu amlaze mahali pema peponi. Ukiwa na uhakika kuwa kafariki wa COVID basi utajilinda. Kujipa faraja hewa hakutakusaidia zaidi ya kukumaliza.
Mkuu ngoja tuone atakavyozikwa. Ya nini kuandikia mate.
 
Kama ana usajili wake itarudi vipi,hivi kanisa lake ni Tanzania Ass. Of God au ni Assemblies of God?
Tanzania Assemblies of God sio kanisa la kata, ni kanisa kubwa sio tu Tanzania bali ulimwengu mzima, kanisa hili lina misingi kamili na imara lakini huyu mtumishi alichepuka na kulifanya lake kuwa ministry baada ya kujijenga. Huwenda likarudishwa kwa kanisa mama

Sent using Jamii Forums mobile app

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Back
Top Bottom