TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Vyoote Kama watakavoacha wajimwambafy,yooote ni bure ni kuukimbiza upepo,upige risasi watu,uwabambike,utoe maagizo,ulaze watu ndani,uuwe at the end ni bure sawa na kujipa stress tu vitapita
Hiii na iwafkie wanyanyasaj wote
Wenye mamlaka yao hasa Hawa kuitwa
Police na viongoz wao wajue kuna
Kitu inaitwa kifokifo hakutawazaza

god is good
 
R.I.P Mama Rwakatare. Ingawa sometimes mahubiri yako nilikuwa siyaelewi elewi. Ama kweli kila sekunde ipitayo ukiwa hai mshukuru sana Jehovah. Asante Jehovah kwa kuniweka hai.
 
Hiii na iwafkie wanyanyasaj wote
Wenye mamlaka yao hasa Hawa kuitwa
Police na viongoz wao wajue kuna
Kitu inaitwa kifokifo hakutawazaza

god is good
Yale mafunzo ya dini ya kiislamu ya kulikumbuka kaburi au kuyapalilia makaburi ni tiba tosha ya kutibu tabia za kujimwambafy na kujiona ni bure kabisa si lolote si chochote
 
kwa hiyo naye atazikwa na serikali..

rest in peace
 
Ila ule mkakati uliouacha wa upepo wa kisulisuli haukuzaa matumda coz, waoaji hawana ajira hivyo uasisi wako haukuzaa matunda.

Ungejua ukaanza na mikakati ya vijana kupata ajira na baada ya hapo upepeo wa kisulisuli ungefanikiwa kuokoa dada zetu walioko foleni kupata wenzi.

Pumzika kwa amani bibie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…