Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Naona Majibu ya maombi ya siku 3 Mungu wetu wa Isaka, Mungu wa Yakobo na Mungu wa Abrahamu ameyajibu tena kwa moto. Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakacho vuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app