rest in peace mie namkumbuka kuna wakati niko mdogo, mama yetu mdogo ilikuwaga ugomvi na na Marehemu bibi yetu na saturi za juma baro kuna moja ilikuwa inaimba usinichimbe bibi usinichembe achaurongo jino la pembe si dawa ya pengo kitu nyumba iyo imekushinda kama ivo kama sijakosea wale wanaoujua watanirekebisha.