Tanzia: Gwiji la muziki wa taarabu Juma Bhalo hatunaye tena

Tanzia: Gwiji la muziki wa taarabu Juma Bhalo hatunaye tena

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Gwiji la muziki wa mahadhi ya pwani Juma Bhalo kafariki jana baada ya kuugua muda mrefu maradhi ya moyo
Marehemu alikuwa ni mwenyeji wa Mombasa nchini Kenya na alitikisa vilivyo kwenye mziki wa taarabu nchini mwake ,Africa mashariki na hata ulaya
R.I.P JUMA BHALO
 
Japo kuwa hata sijawahi kumsikia R.I.P
 
RIP...pigo kwa wapenda taarabu...
 
rest in peace mie namkumbuka kuna wakati niko mdogo, mama yetu mdogo ilikuwaga ugomvi na na Marehemu bibi yetu na saturi za juma baro kuna moja ilikuwa inaimba usinichimbe bibi usinichembe achaurongo jino la pembe si dawa ya pengo kitu nyumba iyo imekushinda kama ivo kama sijakosea wale wanaoujua watanirekebisha.
 
Enzi hizo kulikuwa na upinzani wa taarabu kati ya Juma Bhalo na Juma Matano,huo upinzani ulizagaa pwani yote ya Afrika Mashariki,ukienda Tanga mjini mitaa ya Ngamiani hadi leo kuna unazi kati ya hao watu wawili hasa kwenye vijiwe vya kahawa na mirungi.
 
rest in peace mie namkumbuka kuna wakati niko mdogo, mama yetu mdogo ilikuwaga ugomvi na na Marehemu bibi yetu na saturi za juma baro kuna moja ilikuwa inaimba usinichimbe bibi usinichembe achaurongo jino la pembe si dawa ya pengo kitu nyumba iyo imekushinda kama ivo kama sijakosea wale wanaoujua watanirekebisha.

Huyo mi Malika sio J. Bhalo, wimbo wake maarufu ni Pete. R.I.P mzee wa PETE.
 
124614.jpg
Ikumbukwe kua Juma Bhalo ni msanii kutoka mwambao wa Pwani ya nchini Kenya.
 
Back
Top Bottom